Wandugu,
Afrika Kusini ni taifa lililoendelea zaidi barani Afrika kuliko taifa lolote lile.
Nimebahatika kufika Johanesburg na Pretoria mara tatu kwa nyakati tofauti. Pia nimefika nchi kadhaa za Ulaya na kuishi kwa miaka kadhaa.
Afrika Kusini kwa maendeleo ya miundombinu na mifumo ya mawasiliano inakaribiana ama inazidi baadhi ya nchi za Ulaya.
Utofauti mkubwa kati ya Afrika Kusini na nchi za Ulaya ni kwamba Afrika Kusini kuna umasikini mwingi hasa kwa watu weusi.
Ukichunguza kwa makini hasa ukiwa Afrika Kusini utagundua kwamba mchango wa ujenzi wa Afrika Kusini kwa kiwango kikubwa umetokana na uwepo wa watu weupe nchini humo.
Hata ukitazama fedha yao ya rand ilikuwa na thamani zaidi dhidi ya dola kipindi cha utawala wa wazungu kuliko ilivyo kipindi weusi walianza kutawala.
Pia ukiwasoma kwa ukaribu zaidi watu weusi wa Afrika ya Kusini utagundua wengi ni wavivu na pia kila wakati hurejea suala la ubaguzi wa rangi uliokuwepo ambao hata leo upo kama njia ya kuficha mapungufu yao.
Lakini nadhani mchango wa watu weusi kwenye maendeleo ya Afrika ya Kusini ni mdogo sana.
Hii imenifanya nijiulize swahi hili:
Je, Afrika ya Kusini ingelikuwa vipi kama kusingelikuwepo wazungu?