Search results

  1. TUNTEMEKE

    Uchaguzi 2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

    Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura. Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano. HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda...
  2. TUNTEMEKE

    USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

    Bishweko BADO MADINI yapo moja wapo ni hili la kuokoa fedha za Umma.
  3. TUNTEMEKE

    USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

    Mh Rais anasubiri Muda wake ufike apumzike, HOFU yenu ni nipi??? Ameshasisitiza yeye atafanya kazi katika kipindi chake na atapisha, TATIZO mnadeal na kesi ndogondogo
  4. TUNTEMEKE

    USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

    Je unajisikiaje tutumie mabilioni kushindania nafasi ambayo mshindi tayari ameshapatikana kwa yale anayoyafanya na watu kumuunga mkono?Maslahi Binafsi ni kufuja fedha za Umma wakati tunaweza kuziokoa
  5. TUNTEMEKE

    USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

    WanaJf, Kwa haya yanayoendelea nchini (uchapaji kazi wa Rais magufuli) na hasa kukubalika sana kwa wanachi wa kawaida na hata wa kipato cha kati na juu (Machinga, wakulima, Mamantilie, Wafanyabishara n.k) ambao asilimia 90 ndio wapiga kura katika nchi yetu, JE SI UUNGWANA NA MATUMIZI BORA ya...
  6. TUNTEMEKE

    Mauaji Kinondoni: Waziri Nchemba amtaka IGP na timu yake kufanya uchunguzi wa kina

    Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuunda timu ya kuchunguza vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa wanasiasa ikiwemo mauaji yaliyotokea Kinondoni Jijini Dar es salaam. Waziri Nchemba ametoa maagizo hayo akiwa...
  7. TUNTEMEKE

    Dr. Slaa apewe fursa ya kutufanyia tohara ya kisiasa

    Nilipomuona jana Dr.Slaa nikakumbuka nyakati na majira yale nilipokuwa karibu naye katika kazi za kisiasa. Amerejea nchini akiwa na afya njema,amerejea nchini akiwa na msimamo wake uleule kwamba KINACHOMPETA PAMOJA kati yake na JPM ni mapambano chanya dhidi ya Ufisadi, Majizi na kila aina ya...
  8. TUNTEMEKE

    Yanayojiri katika kikao cha Kamati Kuu Chadema

    NIPO SANAAA MKUU
  9. TUNTEMEKE

    Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

    Zika na NIMR Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake. Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
  10. TUNTEMEKE

    Kaimu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai: Uchunguzi unaendelea kuhusu maiti 7

    First suspect ni wahamiaji haramu alisema kwa sababu..wiki iliyopita wahamiaji haramu zaidi ya 81walikutwa hoi poli la bagamoyo wakiwa hawajitambui.
  11. TUNTEMEKE

    Ufisadi huu kwa Mwigulu Nchemba unahitajika majibu zaidi ya uwajibikaji kisiasa

    Ni wapi mwigulu anetajwa au amehusika kwenye hizi TOILET PAPER zako,Mnamsakama Mwigulu as if ndio anayekupa Ugali
  12. TUNTEMEKE

    Mwigulu amkingia kifua mkurugenzi fisadi

    Copy and paste kutoka uzi kama huu Mwigulu anasema, Ndg wana jf. Salaam. Naandika kujibu uzushi wenye malengo ya kuchafuana kisiasa na usiozingatia maadili ya uongozi kwenye uzi wenye kichwa cha habari hapo juu. Kwanza maelezo yanasema nimemtuma RC Kone akazime maazimio ya madiwani yenye...
  13. TUNTEMEKE

    Mbio za Urais,Mwigulu anaendelea Kung'ara, Vijana wameyasema haya hapa

    Nyota ya Mwigula yazidi kung'ara urais *Vijana wataka chama chake kimpe nafasi Claudia Kayombo WAKATI vyama vya siasa havijatangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, vijana mbalimbali wameanza kutoa maoni ya nani anafaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete...
  14. TUNTEMEKE

    CCM ina bahati sana Kumpata Kinana, Mwigulu

    CCM ina bahati kuwapata Kinana,Mwigulu Na Angela Kiwia KATIKA kipindi cha mwaka mmoja sasa tumeweza kuona ni kwa jinsi gani viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walivyoweza kusimama kidete katika kumtetea Mtanzania kupatiwa haki yake ya msingi kuanzia ngazi za vijijini. Tumeweza kumshuhudia...
  15. TUNTEMEKE

    Nisadieni,Picha hizi zinazosema aina ya Kiongozi anayehitajika Nchii hii kwa sasa

    Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba. Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba. Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu...
Back
Top Bottom