Kaimu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai: Uchunguzi unaendelea kuhusu maiti 7

acer

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
1,595
142
Leo asubuhi nimemsikia Mh Mwigulu Nchemba MWN, kwamba maiti zilizoopolewa toka mto Ruvu uchunguzi unafanyika pamoja na kwamba first suspect ni wahamiaji haramu.
Source: Radio Morning breakfast
1481612161851.jpg
 
yeye alishafanya uchunguzi na kujua kuwa ni wahamiaji haramu.je hao wahamiaji haramu hawako na haki na sheria gani Tanzania unayosema kuwa wahamiaji wauwawe?na leo kenya wakisema kuwa kuna watu wanatafutwa kisha wakasikia kuwa wameuawa tz kwasababu ni wahamiaji haramu je ni sawa Mr madeluuu.

swissme
 
Mh nchemba ulifanya uchunguzi au ulipotezea ?
Wale ni binadamu the same like you.
 
yeye alishafanya uchunguzi na kujua kuwa ni wahamiaji haramu.je hao wahamiaji haramu hawako na haki na sheria gani Tanzania unayosema kuwa wahamiaji wauwawe?na leo kenya wakisema kuwa kuna watu wanatafutwa kisha wakasikia kuwa wameuawa tz kwasababu ni wahamiaji haramu je ni sawa Mr madeluuu.

swissme
Taarifa za awali
 
Mwigulu ananikumbusha chemistry ya form two zile procedure za kufanya experiment, inaanza observation, inafuata sijui hypothesis formulation na nini na mazaga mengine hadi upate jibu, ila huyu mweshimiwa observation ilitosha kujua identity wa zile maiti!
 
First suspect ni wahamiaji haramu alisema kwa sababu..wiki iliyopita wahamiaji haramu zaidi ya 81walikutwa hoi poli la bagamoyo wakiwa hawajitambui.
nani aliwatia kwenye sandarusi?
hivi hawa wakimbizi hawana haki ?
tutajuaje kama ni wakimbizi kweli?
kwanini hawajapima vinasaba?
 
WAHAMIAJI KWA SHERIA ZA TANZANIA HUUAWA??...HUZIKWA BILA UCHUNGUZI/\?....umungu upi huhubiri huyu waziri???...Ndiyo uzalendo wa tai/skafu shingoni???
 
First suspect ni wahamiaji haramu alisema kwa sababu..wiki iliyopita wahamiaji haramu zaidi ya 81walikutwa hoi poli la bagamoyo wakiwa hawajitambui.
Kwa hiyo wakiwa wahamiaji haramu wanazikwa halafu ndo uchunguzi uendelee? Hiyo ndo crime investigation protocol?
 
Si zimeshazikwa? Au zimefufuka? Wahamiaji haramu nani kawauwa na kuwafunga mawe? Nani alithibitisha kuwa ni Wahamiaji haramu??
 
nani aliwatia kwenye sandarusi?
hivi hawa wakimbizi hawana haki ?
tutajuaje kama ni wakimbizi kweli?
kwanini hawajapima vinasaba?
Hao waliowafikisha toka mpakani hadi kuwafikisha hapo Bagamoyo na kuwatia KWENYE mifuko ya Sandarusi ndio watafutwe.
 
First suspect ni wahamiaji haramu alisema kwa sababu..wiki iliyopita wahamiaji haramu zaidi ya 81walikutwa hoi poli la bagamoyo wakiwa hawajitambui.
Inaonekana wewe fahamu ndiyo zinakurudia mida hii. Tuliokuwepo tangu haya yanaanza alisikika na kuonekana live akisema kuwa miili ile ni ya wahamiaji haramu.
Hiyo 'suspect' ni Kauli mpya kabisa tena ya kufundishwa.
 
Back
Top Bottom