Mwigulu Nchemba aonya waliopewa Uraia kuachana na tabia za walikotoka

Watu wasipite tena kwenda kuchota maji hii hatari; halafu kwanini wanagawa uraia kwa kundi kubwa namna hiyo la watu waliotoka nchi moja.

Busara ingekuwa ni kutoa kibali cha makazi ya kudumu ambayo inawapa fursa ya kuishi nchini bila ya masharti wanayokutana nao wageni na kupewa uraia ni suala la individual kufikia sifa sahihi.

Lakini kwenda kuwapa uraia watu kwa malaki na maeneo if anything serikari inawajengea tabia ya kukimbilia Tanzania kila ardhi inapo jaa huko makwao na huo uraia wala sio kwa sababu ya proper assimilation tayari washaona fikra za hawa watu ni majanga tu mbeleni.
 
Back
Top Bottom