Search results

  1. sameerkhan

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Daahhh inabidi niwe mpole tu ila ningeipata ningehangaika nayo hata kidogo nionje ladha yake [emoji39][emoji39]
  2. sameerkhan

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu, msaada wa gcam for samsung A23
  3. sameerkhan

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Msaada gcam for samsung A23
  4. sameerkhan

    Tatizo lolote la PC/device

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sameerkhan

    Tatizo lolote la PC/device

    Habari za muda huu wadau, Samahani sana naomba msaada wa setting kwenye simu yangu ya Infinix Hot 8 simu yangu sms zinaingia kimya kimya bila kutoa sauti (sound notification) naombeni mnisaidie sijui nakosea wapi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sameerkhan

    Walimu nani kawaroga?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sameerkhan

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    App iko poa, hongereni sana
  8. sameerkhan

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Leo chances nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia, sub zinafanyika too late aisee ila still trong [emoji110][emoji110][emoji110] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sameerkhan

    Video Lyrics

    Chief-Mkwawa tusaidie zote tu kama inawezekana 1. Lyrics tupu na audio yake 2. Lyrics na original video pia inaonekana
  10. sameerkhan

    Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Write protected ndio nini? Labda hili linaweza kuwa tatizo
  11. sameerkhan

    Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Kwenye simu inakubali kufuta baadhi ya files , lakini nikitaka kuweka files kwenye memory ndio inakataa
  12. sameerkhan

    Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

    Kama inavyojieleza hapo kwenye heading naombeni msaada memory card yangu nashindwa kuhamisha files kutoka kwenye PC kwenda kwenye memory, au nikitaka kufuta baadhi ya files kwenye memory inaniandikia "NO PERMISSION TO DELETE" MSAADA PLEASE.
  13. sameerkhan

    Msaada: Nahitaji kufuta beat, ibaki sauti

    Ahsanteni sana nafanyia kazi mliyonipatia
  14. sameerkhan

    Msaada: Nahitaji kufuta beat, ibaki sauti

    Nahitaji App kwenye smartphone au PC niwezeshe kufuta/kuondoa beat na ibaki sauti pekee. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  15. sameerkhan

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU NAHITAJI APP YA KUWEZESHA KUONDOA BEAT (MDUNDO) KWENYE MUZIKI NA IBAKI SAUTI TU PEKEE
  16. sameerkhan

    Msaada: Prison break season 5

    Thanx mkuu ubarikiwe
  17. sameerkhan

    Msaada: Prison break season 5

    Naomba msaada ndugu zangu ninahitaji kudowload season mpya ya prison break season 5 iliyotoka mwezi huu wa nne, lakini sifahamu naipata vipi naomba mwenye ujuzi wa hili jambo anifahamishe kupitia uzi huu AHSANTENI [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  18. sameerkhan

    Nawezaje kuprint notes za thl application?

    Kuproject kioo cha simu ndio kufanyaje tafadhali nielekeze mkuu
  19. sameerkhan

    Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Ajira ni kwa walimu wa sayansi na hisabati tu kwa mujibu wa tanazo la katibu mkuu na kauli ya prof ndalichako ili kupunguza uhaba wa waalimu wa sayansi mashuleni, hapo unaweza kujiongeza tu kwamba walimu wa arts ni wengi mashuleni hivyo wanaziba kwanza gap kubwaa la sayansi simnajua serikali ya...
Back
Top Bottom