Natambulisha Live Online Tv kwenu

Mkuu hapa safi sana. Hongera sana hapo kweny sony ten 1 ndipo napopataka. Ha ha ha ha ha ha ha
Umrnifurahisha sana, hii chanel nilikuwa naitafuta sana tena sana zaid hata ya sana.
Hapa nitakuwa naangalia WWE kiroho safi. Ungepata inaonyesha TNA ingependeza pia
Sony ten 1 haijawahi kucheza muda wote inaload tu yaan kwangu inazingua sana
 
Ni kweli kuna muda zinakuwa na hiyo changamoto kutokana na miundombinu ninayotumia kukufikishia hizo channels, ila nimeanza kufanya marekebisho ambayo natumaini yataboresha upatikanaji wa channel hizo
pia zile channel za michezo kuna muda zinakuwa hazionyeshi na hazileti ujumbe wowote, pamoja na changamoto sijawahi kujuta kutumia app yenu.
 
Tumeongeza channel hizi kwenye orodha ya channel za East Africa
TV E
ITV
Star Tv
Channel Ten
Sibuka Tv
Tumaini Tv na
U Tv
 
Back
Top Bottom