Msaada: Nahitaji kufuta beat, ibaki sauti

Kwa FL Studio unaweza kufanya hivyo kwa kutumia Dashboard na Maximus. Ni jambo la dakika kadhaa tu.
Mkuu hivi inawezekana kweli ukaondoa beat ikabaki vocal na quality nzuri ikiwa wimbo ushakuwa exported yani uko katika mp3 au wav?
 
Mkuu hivi inawezekana kweli ukaondoa beat ikabaki vocal na quality nzuri ikiwa wimbo ushakuwa exported yani uko katika mp3 au wav?
Absolutely, kinachofanyika hapo ni ni kuondoa/kupunguza Phases za Vocals (Phase Cancellation) kwenye muziki husika ili iwe Minus One Track (Track iliyoondolewa Vocals). Check hii video kwa maelekezo zaidi: https://www.youtube.com/ioFGjlQKb1A
 
Back
Top Bottom