The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huwezi bahatisha mara mbili!
Mwaka huu hamna chenu hamchukui hata FA
Mbunu zile zile haziwezi kukupa EPL mara mbili mfululizo!
Kw amabeki hawa wazito Liverpool anakufunga home and away
Liverpool ndiyo mabingwa wapya wa EPL
Nani hapa anaweza simama na kusema hayaogopi majogoo ya ANFIELD?
Nitakukumbusha maneno yako
 
BADO mna kabobo zenu kama useless Fred ni mzuri kwa mnyama Keita?
BHA aliye wafunga nampiga zaidi ya 4 kwangu Anfield
Hamna tem pale nashangaa why aliwadunda
Nani HAPA BADO hayaogopi MAJOGOO?
 
Wolves 1 vs 1 Man city

Laporte
1535205515532.gif
1535205581981.gif
 
Back
Top Bottom