Tatizo lolote la PC/device

Tumia data recovery software, jaribu software inaitwa EaseUs data recovery ambayo ipo cracked getintopc.com , make sure una external kwa ajili ya kuweka recovered data. Note data Hazitokua na majina ya kueleweka pia chunks files nyingi zitarudi
 
Hii simu bd haijagonga 1M?
Nahitaji Duos

Sent From My iphone 11 Max Pro..Niliinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama.
 
Au ndio mpk feb wakishusha s11

Sent From My iphone 11 Max Pro..Niliinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama.
 
Wakuu naomba msaada nina external yangu kwa bahati mbaya niliidondosha chini, sasa hivi haisomi files inaishia kuwaka kitaa cheupe tu then kinazima, inatoa kamlio fulani hivi ambacho mwanzo hakikuwepo, kama kuna jinsi ya kuifufua msaada tafadhali.

%2FPHOTO_20191213_105503.jpeg
%2FPHOTO_20191213_105451.jpeg
%2FPHOTO_20191213_105250.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wadau,

Samahani sana naomba msaada wa setting kwenye simu yangu ya Infinix Hot 8 simu yangu sms zinaingia kimya kimya bila kutoa sauti (sound notification) naombeni mnisaidie sijui nakosea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina laptop aina ya HP G250 NOTEBOOK. Ilikuja na Windows 8.1 ikiwa mpya kabisa na nilikuwa naweza kuscroll kwa kutumia vidole viwili. Ilipata tatizo nikalazimika kubadilisha windows nikaweka Windows 7. Lakini sikuridhika na utendaji wa Windows 7 labda sababu ya kuizoea sana Window 8.1. Basi nikaweka tena Windows 8.1 kama iliyokuwemo awali. Kutokea hapo ile function ya kuscroll kwa vidole viwili ikapotea.

Naomba msaada namna ya kurudisha function hii.
Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu yangu LG v10 h900 ilizima ghafla toka mwezi wa 2/2019 & nikiwasha haiwaki. Lakini kabla ya kuzima ilianza kustuck then ikazima jumla

Hapo tatizo inaweza kuwa nini or kama wewe ni fundi mzuri wa software na hardware naomba nicheki kwa utatuzi.

1576234762473.jpeg


1576234783423.jpeg


1576234833268.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu cheki settings za simu yako kwenye kipengele kinaitwa "Do not disturb" uweke off inawezekana uliset bila kufahamu ndio maana haupati hizo notifications.
Habari za muda huu wadau,

Samahani sana naomba msaada wa setting kwenye simu yangu ya Infinix Hot 8 simu yangu sms zinaingia kimya kimya bila kutoa sauti (sound notification) naombeni mnisaidie sijui nakosea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu LG ikizima imezima yaani haiwaki forever, sitarudia kununua LG katika maisha yangu.
 
Back
Top Bottom