Video Lyrics

Abdul Bilal

Member
Jul 29, 2017
88
15
Habari wana uwanja
Ebana kuna anayeweza kuniashiria program nzuri zaidi ya kutengeneza video lyrics zenye mbwembwe nyingi?
Shukrani nazitanguliza kwanza.
Share nasi basi hizo program.
 
hio video inakuwa lyrics tupu na audio au original video pia inaonekana?
Mm nataka ya video lyrics na audio yake.... yani audio inakiwa inaplay kisha kioo kizima kinakiwa na lyrics.... au kuna moja nimeona yani kioo unaweza weka picha kisha pembeni yake kunakuwa na hizo lyrics
 
Kama hiyo hapo ilivyo

hii unaifanya na microsoft powerpoint dakika kadhaa tu sio ngumu,

hapo tengeneza background ya rangi nyeusi na hio picha ya huyo mtu nayo iwe background. ili ipendeze kama hivyo picha inatakiwa iwe ni png, maana picha za png zinaweza kuwa bila background. kama huna unaweza omba mtu akutengenezee au ukatengeneza mwenyewe na image editor kama photoshop, ila isikupe sana pressure ni optional hii.

ukishaeka background yako, unaanza kuweka maneno kwenye slide, then unachagua transition ambazo zitatumika kila maneno yanapojibadilisha,

umewahi tumia powerpoint?
 
Chief-Mkwawa tusaidie zote tu kama inawezekana

1. Lyrics tupu na audio yake

2. Lyrics na original video pia inaonekana
lyrics tupu powerpoint inatosha, au unaweza tumia hata photoshop then baadae picha ukaziunga kuwa video, hata image editor za simu zinaweza fanya hii sio ngumu kabisa. ila ki professional zaidi unaweza tumia adobe after effects.

kwa video na sauti inasikilikana na unaekea maneno kwa juu unaweza tumia simple video editors kama windows movie maker, au cyberlink powerdirector etc ila ki proffesional zaidi after effects inapendeza.

mimi hupendelea kutafuta software rahisi kama hio powerdirector au powerpoint ya microsoft office sababu unaweza kuzimaster mapema unakuwa unachomeka tu idea zako tofauti na professional softwares ambazo zinatumia muda mrefu kujifunza.
 
Point noted
Unajua ilinijia idea ya power point but nikaona kama ya kizamani vile
 
hii unaifanya na microsoft powerpoint dakika kadhaa tu sio ngumu,

hapo tengeneza background ya rangi nyeusi na hio picha ya huyo mtu nayo iwe background. ili ipendeze kama hivyo picha inatakiwa iwe ni png, maana picha za png zinaweza kuwa bila background. kama huna unaweza omba mtu akutengenezee au ukatengeneza mwenyewe na image editor kama photoshop, ila isikupe sana pressure ni optional hii.

ukishaeka background yako, unaanza kuweka maneno kwenye slide, then unachagua transition ambazo zitatumika kila maneno yanapojibadilisha,

umewahi tumia powerpoint?
Yaah natumia sana
Sema ndio kama hvyo nikadhani labda watu wanatumia za kisasa ziadi
 
Point noted
Unajua ilinijia idea ya power point but nikaona kama ya kizamani vile
inategemea na version yako ya powerpoint,

angalia hii animation imetengeneza powerpoint

kama una hela nunua office 365 utapata feature ya morph, utatengeneza video kali sana na morph,
 
Ahaaaa sasa hii morph unaitumiaje
ni transition sema yenyewe ina akili, ukiipa mwanzo na mwisho ina animate,

mfano umechora box dogo sehemu ya kwanza, then sehemu ya pili lile box ukaliongeza ukubwa na kuchagua morph, itaonekana animation box dogo linajikuza linakuwa kubwa angalia hii video

amenonyesha basics za morph,
 
Yani ulivyonambia tu nimezama youtube na kukutana na huyo jamaa
Sema ishu inakuja kwenye hiyo office 365
Hakuna njia ya ujanja ya kiipata bila kitoa oesa??????
 
hakuna sababu hio mara kwa mara inakuwa online, sema ebay kuna jamaa wanauza lifetime licence kwa around dola 4 na kitu, mi nimenunua kwa hela za kitanzania 10,800.

sio mbaya kwa hio bei na hata ikikata huko baadae haina neno sababu licence ya mwezi ya 365 ni zaidi ya hio 10,000.

uzuri wa office 365 utapata 1TB ya onedrive, unatumia office popote pale iwe kwenye browser, simu etc na pia unapewa latest version bure, mfano mwakani inatoka office 2019 wenye office 365 watapewa bure.

na hio ya shilingi 10,800 licence yake ni ya computer 5, inamaana kama una ndugu na jamaa hawana office mnashare email moja watu 5.
 
Aisee itabidi tu nimiliki
 
hii unaifanya na microsoft powerpoint dakika kadhaa tu sio ngumu,

hapo tengeneza background ya rangi nyeusi na hio picha ya huyo mtu nayo iwe background. ili ipendeze kama hivyo picha inatakiwa iwe ni png, maana picha za png zinaweza kuwa bila background. kama huna unaweza omba mtu akutengenezee au ukatengeneza mwenyewe na image editor kama photoshop, ila isikupe sana pressure ni optional hii.

ukishaeka background yako, unaanza kuweka maneno kwenye slide, then unachagua transition ambazo zitatumika kila maneno yanapojibadilisha,

umewahi tumia powerpoint?
Hii njia ya powerpoint kwa android phones inawezekana?
 
yap ila ni version ya kulipia aka office 365,

kwa bure angalia cyberlink powerdirector wana app nzuri tu, free version huwezi save video ya HD mpaka uangalie tangazo.

matumizi ya kawaida ya whatsapp na app za kijamii wala hutahitaji hio HD, quality ya kawaida inatosha.
 
Back
Top Bottom