Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

camera2API
Mkuu samahan mm nime install gcam kwenye oppo A74 4g naona inapiga kazi japo zile setting za kupiga picha focus kweny kitu kimoja hamna.....
He hio camera2API ndo nikiiongeza ntakuta setting zaidii..?? Na naipataje hio camera
 
Hiyo itakua old version,unatumia version gani ya gcam?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom