Search results

  1. Abu Haarith

    msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Shukran mkuu nitajitahidi kufanya hivyo
  2. Abu Haarith

    Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL)

    Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL) ni kama ifuatavyo: Kuanzishwa (1964): CAFCL ilianzishwa mwaka 1964 na kuitwa awali Kombe la Vilabu Bingwa Afrika. Lengo lilikuwa kuwakutanisha mabingwa wa ligi za kitaifa barani Afrika. Muundo wa Awali: Katika awamu zake za mwanzo, mashindano...
  3. Abu Haarith

    msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    asante kwa ushauri wako mkuu, blog yangu ni blogspot
  4. Abu Haarith

    msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50...
  5. Abu Haarith

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    haya wazee wa uwekezaji code nne zimetoka kwaajili ya leo cheki hapa maelezo kamili KURUNZI YA BACK BENCHA, WAZEE WA KUWEKA MIZIGO CODE HIZI 4 USHINDI 99%
  6. Abu Haarith

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    code 9 hizi hapa kwaajili ya betpawa KURUNZI YA BACK BENCHA, WAZEE WA KUWEKA MIZIGO CODE HIZI 9 USHINDI 99% - Bin RUWEHY SPORTS
  7. Abu Haarith

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee wa pawabet kuna jambo lenu huku kuna mikeka ya leo Tarehe 28 ambayo keho tutajua mbivu na mbichi bonyeza hapa WAZEE WA KUWEKA MIZIGO, KURUNZI YA BACK BENCHA HII HAPA TUANZE SAFARI - Bin RUWEHY SPORTS hakikisha unahakiki mikeka yako bora upunguze timu kuliko kuongeza tutapeana mrejesho hapa...
  8. Abu Haarith

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa anaetaka code hizi hapa mikeka 7 ya kibabe zinatumika kwa pawabet tu link hii hapa WAZEE WA KUWEKA MIZIGO CODE 7 HIZI HAPA KWAAJILI YAKO BET KISTAARABU
  9. Abu Haarith

    Al Ahly kukipiga na Mamelodi nusu fainali AFL. Nani atatinga fainali?

    Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini. Mamelodi waibuka kidedea baada ya kumpiga mpinzani wao bao 2-0 katika mchezo uliopita, Jana Mamelodi walishindwa kuona...
  10. Abu Haarith

    Msaada: huwa inachukua muda kiasi gani app kuwa published katika Play store

    Habari wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nime publish app ya blog yangu katika soko la google play store tangu asubuhi lakini mpaka sasa jioni haijakuwa published ipo draft na status yake ni kuwa in review. Je inaweza kuchukua muda gani kuwa published msaada, maana kipindi cha mwaka 2017...
  11. Abu Haarith

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Kwanini saibaba halijatajwa dar arusha sio poa bora uondoke by ngondi Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  12. Abu Haarith

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    Dev wewe mboga kama mganga, bila domain huwezi au wenge dev
  13. Abu Haarith

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    ndio maana nimetafuta dev hizo makitu ni hovyo kiasi nilishawahi kujaribu appyet n.k
  14. Abu Haarith

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    Mi sijapanga bajeti sababu nilijua dev ndio atanipa maelezo yalivyo ndio maana nikaweka na link ya blog pamoja na maelezo kiasi ili dev ajue ugumu wa kazi au wepesi ili ajue gharama itakayohitajika
  15. Abu Haarith

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    Habari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na demo japo moja tu ili niweze kujiridhisha
  16. Abu Haarith

    Islamic Dressing

Back
Top Bottom