Nahitaji kutengenezewa App ya android

Hakuna bei maalum kivipi? Nikikuambia utoe milioni 5 utatoa?

Wewe bajeti ya hiyo kazi yako ina range kwenye shilingi ngapi?
Mi sijapanga bajeti sababu nilijua dev ndio atanipa maelezo yalivyo ndio maana nikaweka na link ya blog pamoja na maelezo kiasi ili dev ajue ugumu wa kazi au wepesi ili ajue gharama itakayohitajika
 
Inaeza kumuonganishia API ya blogger kwel? Na authentication kufanya kabisa?
Android app for your blog instead of people typing url of your blog in browser they will automatically be in your blog home page after opening the app

Kiingereza chenyewe tia maji any correction
 
Karibu inboksi demo ya App nilizotengeneza ni "Udaku magazine" na "Carrymastory gossip"
Na kwanza blog yako ujanunua ata domain ya buku mbili utaweza garama za App we mzee
 
Nini hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20230302-121633_Firefox.jpg
    Screenshot_20230302-121633_Firefox.jpg
    59.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom