Search results

  1. Rais Wa Malofa

    Utapeli Uagizaji wa Bidhaa Kutoka Nje ya Nchi

    Wana Jamii Forums Salaam. Natumai kila mtu ameshakifuta vumbi kichinjio chake tayari kwa ajili ya kesho. Nimekuwa nikiona matangazo mbalimbali ya watu kuagiza Bidhaa mbalimbali toka nje ya nchi. Kiukweli yale matangazo yamekuwa yakivuta attention ya watu na wengine wamekuwa wakijitosa na...
  2. Rais Wa Malofa

    Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Meridianbet

    Habari za muda huu waungwana. Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting. Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila mimi ningependelea kuwa wakala wa Meridian. Naomba kwa anayefahamu utaratibu wa kupata hiyo huduma...
  3. Rais Wa Malofa

    Spesho Kwa Mashabiki wa SIMBA tu

    Mimi ni shabiki kindakindaki na mwanachama aliyetukuka wa Simba Sports Club. Nikiwa kama shabiki na mwanachama wa Club yetu pendwa ningependa kuwa wakala wa kuuza jezi na kugawa kadi mpya za Simba huku mkoani kwetu. Kama kuna mwenye kufahamu utaratibu wa kuwa wakala wa Club yetu pendwa...
  4. Rais Wa Malofa

    Msaada: Jinsi ya kukomesha meseji toka Tigo

    Habari za jumapili wandugu. Kama heading inavyojieleza nimekuwa nikipokea meseji nyingi toka Tigo. Kwa siku naweza pokea meseji zaidi ya mia mbili toka namba 100. Nimejaribu kuwasiliana nao kuhusiana na hili tatizo ila sijapata msaada wa kueleweka. Naomba yoyote mwenye kujua jinsi ya...
  5. Rais Wa Malofa

    Computer kutumia Bando kinyume na Matarajio

    Ndugu wana jamvi, salamu. Nina laptop aina ya dell yenye windows 10 pro inatumia bando vibaya saana. Nimejaribu ku deactivate updates zote zinazoweza kufanyika automatically lakini sijafanikiwa kutatua tatizo. Mara ya mwisho nimenunua 2GB za data lakini zimeisha ndani ya nusu saa kwa kuperuzi...
  6. Rais Wa Malofa

    Sijui Nimtafune?

    Habari wana jamvi. Juzi katika mizunguko yangu mjini nilikutana na binti mmoja hivi mwanachuo. Kwa kumtazama kwa haraka haraka nikagundua hakuwa sawa. Kibinadamu nikamsogelea nikaanza kumsaili japo nwanzoni alitia ngumu kidogo. Badaye alinieleza kila kitu (kuhusu kutokuwa kwake sawa) nikaamua...
  7. Rais Wa Malofa

    Msaada Jinsi Ya Kuroot Huawei Mate 8

    Nimejaribu njia zote ninazozifahamu imeshindikana. Naomba mwenye utaalam wa Ku'root Huawei mate 8 anisaidie. Natanguliza shukrani!!
  8. Rais Wa Malofa

    Tuambiwe Ukweli Tu

    Watuambie nchi imefilisika tutawaelewa vinginevyo Wanataka Tutukane watupe Kesi ya Uchochezi kmamae
  9. Rais Wa Malofa

    Msaada Kuhusu Bima Kubwa ya Gari

    Habari za Mihangaiko wandugu, Nimekuwa nikisikia shuhuda mbalimbali toka kwa watu kuhusu Bima Kubwa ya Gari ila nimeshindwa kupata muunganikano mzuri wa faida na hasara za Hii Bima. Je, ni kweli ukiwa na Hii Bima Kubwa Gari yako ikipata ajali au tatizo Kubwa unalipwa na shirika la Bima...
  10. Rais Wa Malofa

    Nahitaji Simu Bajeti Yangu 800k

    Husika na mada tajwa hpo juu. Baada ya kuwa nimetapeliwa kwa kubadilishana na mtu simu fake, nimejipiga piga hatimaye nimepata laki nane ambayo nimepanga nikachukue simu original dukani. Naomba kwa wale wanaofahamu simu nzuri kwa kuzingatia bajeti yangu wanisaidie kufanya uchaguzi. Sibagui...
  11. Rais Wa Malofa

    Msaada: Jinsi ya Kubadilisha IMEI

    Jamani wana IT naombeni msaada wenu tena. Nina simu ya samsung galaxy s5 ambayo ina imei mbili tofauti. Yaani imei iliyopo nyuma ya simu ni tofauti na imei inayoonekana niki'dial *#06#. Mwanzoni nilijua hii simu ni fake ila nimeshajaribu kutumia mbinu mbalimbali za kutambua simu na zote...
  12. Rais Wa Malofa

    Msaada: Play Store kutokufanya kazi

    Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie. Natanguliza Shukrani.
Back
Top Bottom