Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 688
- 796
Husika na mada tajwa hpo juu.
Baada ya kuwa nimetapeliwa kwa kubadilishana na mtu simu fake, nimejipiga piga hatimaye nimepata laki nane ambayo nimepanga nikachukue simu original dukani.
Naomba kwa wale wanaofahamu simu nzuri kwa kuzingatia bajeti yangu wanisaidie kufanya uchaguzi.
Sibagui OS. Iwe windows, android au iOS sawa tu ila atleast iwe na kioo kikubwa cha display.
Mwaka ambao simu imetengenezwa atleast iwe kuanzia 2014.
Natanguliza shukrani.