Search results

  1. C.K

    Nina madini ya Opal (Milky white opal)

    Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
  2. C.K

    Nina madini aina ya Opal (Milky white opal)

    Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
  3. C.K

    Kununua simu (IPhone) toka XCITE, Mombasa

    Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo. Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
  4. C.K

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, Mkristo, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe binafsi. Sifa za mwanamke nayemtaka:- 1. Mkristo 2. Awe na shughuli inayomuingizia kipato 3. Awe...
  5. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

    Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
  6. C.K

    Mbolea ya kinyesi cha kuku inauzwa

    Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi plus ya kilo hamsini hamsini...Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
  7. C.K

    Carry/Kirikuu inahitajika

    Mwenye carry na iko vizuri anicheck... Offer ya bei yangu tutaelezana. Namba iwe C au D
  8. C.K

    Nahitaji Kirikuu (Carry)

    Mwenye carry na iko vizuri anicheck... Offer ya bei yangu tutaelezana. Namba iwe C au D
  9. C.K

    Africa's underdevelopment

    Check the poll above... Thanks
  10. C.K

    KITABU KITABU KITABU…!! UJASIRIAMALI

    KITABU KITABU KITABU…!! Kama unahitaji kitabu cha elimu ya ujasiriahali na ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla kilicho katika lugha ya Kiswahili na kilichoandikwa kuakisi mazingira halisi ya Kitanzania na Kiafrika ni inbox utumiwe soft copy (pdf file) personally. Kitabu kina hakimiliki ya...
  11. C.K

    KITABU KITABU KITABU…!! UJASIRIAMALI

    KITABU KITABU KITABU…!! Kama unahitaji kitabu cha elimu ya ujasiriahali na ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla kilicho katika lugha ya Kiswahili na kilichoandikwa kuakisi mazingira halisi ya Kitanzania na Kiafrika ni inbox utumiwe soft copy (pdf file) personally. Kitabu kina hakimiliki ya...
  12. C.K

    UKAWA na ripoti ya utafiti hivi punde

    Baada ya TWAWEZA kushindwa kutuweza UKAWA na wanamabadiliko kwa ripoti yao ya utafiti wa kimagumashi, sasa UKAWA kuja na ripoti ya utafiti ambao unaonesha hali halisi ilivyo field...Sote tunajua CCM iko hoi bin taabani ndo maana inatapatapa tu. Fanyeni haraka viongozi wa UKAWA ili kuzima upuuzi...
  13. C.K

    Kwa wana UKAWA tu – Man 2 man...

    Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuendelea kuongeza kura za urais kwa Lowassa coz watu wengi wakiwamo CCM wenyewe na vyama vingine hata wasio na vyama wanaendelea kushawishika na kuona haja ya mabadiliko kwa kukubali kumpigia kura Lowassa. Binafsi nimewashawishi watu kadhaa ikiwamo majuzi kijana...
  14. C.K

    NEC Toweni elimu namna ya kupiga kura na utaratibu

    Siku zinazid kusogea NEC mko kimya tu... Toeni elimu tafadhali ya namna ya kupiga kura na utaratibu mzima wa zoezi la upigaji kura.. Msitake ibaki siku moja ndo mseme unatakiwa kuweka vema ndani ya box, sijui usiweke cross kwe kisanduku au ooh usije na kalamu yako nk. Tuambieni mapepa tuendele...
  15. C.K

    UKAWA waelimisheni watu juu ya upigaji kura hususan kwa wabunge na madiwani wa UKAWA

    Tofauti na chaguzi nyingine, mwaka huu UKAWA chini ya vyama vyake vinne (CHADEMA, CUF, NCCR-MAGEUZI na NLD) anasimamishwa mgombea mmoja tu katika kila ngazi - urais, ubunge na udiwani. Sina wasiwasi kwa upande wa kumpigia kura rais ila kwa wabunge na madiwani kunaweza kuwapo baadhi ya watu wasio...
  16. C.K

    Eti UKAWA utakumbwa na tafrani na kusambaratika katika wiki ya kwanza ya September 2015

    Kuna mtu mmoja humu aliwahi kutuhadaisha kuwa UKAWA utakumbwa na tafrani nzito na ya aina yake katika wiki ya kwanza ya sept. 2015 na huo ndio utakuwa mwisho wa UKAWA na harakati zake... Swali, yuko wapi huyo mtabiri feki ajibu nini kimetokea?!! Mbona UKAWA bado mwendo mdundo na ndiyo inazidi...
  17. C.K

    NEC sogezeni mbele kidogo muda wa kumaliza kampeni jioni

    NEC mnapaswa kusogeza mbele kidogo muda wa mwisho wa kampeni jioni kwani hali halisi imeonesha kuwa saa kumi na mbili kamili ni mapema sana. Mida hiyo watu wengi wanakuwa ndio wanatoka maofisini/shambani na hivyo kushindwa huhudhuria vyema mikutano. Lakini pia wagombea na wanakampeni wenyewe...
  18. C.K

    LOWASSA mtu wa vitendo zaidi, maneno kawaachia wenye maneno

    Oooh Lowassa hajui kuongea, hotuba zake ovyo sijui kalikwenda kakarudi, watz bana cjui vipi... Kwa sasa hatuwataki tena watu wenye maneno mengi na hotuba ndefu na tamutamu zilojaa ahadi hewa, tunataka vitendo, maneno tushaskia sana yanatosha, now ni action tu, big up Lowassa. Wanaotaka maneno...
  19. C.K

    Nadhani Mungu atakuwa hapendi tembo waendelee kuuwawa, hivyo lazima aingilie kati uchaguzi mwaka huu

    Tembo wa Tanzania karibia wanakwisha wote, hiyo inatosha kabisa kumfanya Mungu aingilie kati uchaguz wa mwaka huu na kuiondoa ccm madarakani, achilia mbali madudu mengine yaliyofanyika chini ya utawala wa ccm... kama unakubaliana nami sema sawaaa..! sawasawaaa...
  20. C.K

    Ni kweli, kuna kalamu zinazofutika wino zinawezatumika kupigia kura maeneo yenye upinzani mkubwa

    Usiku wa kuamkia juzi (18/08/2015) nimeota CCM imeshinda urais lakini kwa udanganyifu... Ishu yenyewe iko kwenye kuharibika kura. Niliota kwamba katika masanduku ya kura, kulikuwa na baadhi ya karatasi za kura ambazo zilikuwa hazina maandishi (ziko tupu, yaani hazijapigwa kura). Sasa nikawa...
Back
Top Bottom