KITABU KITABU KITABU…!! UJASIRIAMALI

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
163
KITABU KITABU KITABU…!!

Kama unahitaji kitabu cha elimu ya ujasiriahali na ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla kilicho katika lugha ya Kiswahili na kilichoandikwa kuakisi mazingira halisi ya Kitanzania na Kiafrika ni inbox utumiwe soft copy (pdf file) personally. Kitabu kina hakimiliki ya mwandishi na ISBN yake. Bei ni elfu tano (5,000/=) tu. Naweza kukutumia kwa Whatsapp au email kama unayo. Kitabu kiko sokoni since 2012 na kimesaidia wengi kujua njia na namna mbalimblai za kupatia pesa na kufikia mafaniko ya kifedha. Sambamba na kukuonesha nini ufanye ili upate pesa, pia kinahamasisha na kukuchochea utafute pesa zaidi na zaidi kwani maisha hapa mbele ya jua ni pesa tu na pesa ndio maisha. Ukikisoma mwenyewe utashuhudia… SOMA UPATE UFAHAMU, UFAHAMU NI NGUVU. Nicheki kwa vitabu vingine pia na business partnership in printing and distribution +255718174415
New Picture (3).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom