Search results

  1. lionhard

    Msaada file halifunguki ..

    Yaani namaanisha kuna sites Una_upload hlo file then wanali_convert to MS file unali_download then una _open kwa Microsoft office.
  2. lionhard

    Msaada file halifunguki ..

    MS Office haiwez kufungua Open office file, So, download Apache open file then uitumie kufungua hilo file, au Kama hlo file sio confidential unaweza Ku_convert in to MS file online.
  3. lionhard

    Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    Huyo wa ubungo mbona hajibu? Or it's not real?
  4. lionhard

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Can you tell us how?
  5. lionhard

    Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    18 yrs haez kuwa peke ake, kisasi moja ya mguu zingemtosha sio kumuua. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lionhard

    Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    Kwa Dar sehemu gani kuna dojo la kueleweka? Natafuta members wa kufanya nao mazoezi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. lionhard

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    N Sent using Jamii Forums mobile app
  8. lionhard

    Wanawake wasiopenda kuandaliwa kabla ya kufanya mapenzi wana tatizo gani?

    Hujakutana na mtu mwenye ushawishi ungependa tu, kuna vitu huvipendi sababu hujafanyiwa kuna steps za kufanya romance, sio unakurupuka tu unazama chumvini, wanaboreka. Sex bila romance inapunguza upendo.
  9. lionhard

    Wanawake wasiopenda kuandaliwa kabla ya kufanya mapenzi wana tatizo gani?

    Labda una tatizo, kinywa kichafu, au the way you kiss kama ndama, Wakati mwingine sio kila ulichojifunza unaweza kumfanyia, vingine hawavipendi so Ni wewe kuwa mbunifu maana unaeza ukute kuna vingine hata yeye hajui kama anavipenda mpaka umfanyie. Pia wengi huwa Ni wagumu kusema wapi wako...
  10. lionhard

    Njia mbadala ya kuepuka kufanya PUNYETO (ngono binafsi)

    Ukiwa na hamu ya kufanya ngono halafu ukaizuia unapata matatizo ya kisaikolojia. Ni vyema ukamtafuta mwenza mkazimaliza hizo Hamu, it's a real cure.
  11. lionhard

    Tetesi: Vijana wapanga mageuzi 2020

    Hahah acha kutisha watu kizembe.
  12. lionhard

    Tujifunze jinsi ya kuandaa Unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu

    gfsonwin, Hapa Hakuna haja ya kuweka Mchele? Na hii lishe inaweza kutumiwa na mtu mzima? Au kwa Ajili ya watoto?
  13. lionhard

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Simple, washa gari tembea[emoji276]
  14. lionhard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata M-Bet wako faster, japo wana options chache.
  15. lionhard

    Mradi wa kulima MATIKITI

    Kwann??
Back
Top Bottom