Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

Tumempoteza Kijana Shupavu. [HASHTAG]#RIP[/HASHTAG]

True thug ameona bora afe!
 
Natumaini walipata nafasi ya kumuuliza hayo mawazo ya kuiba watoto aliyatoa wapi au kama kuna aliowafahamu walimfundisha hayo.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuua kwa kumpiga risasi muuaji na mtekaji wa watoto Samson peter (18) wakati akijaribu kutoroka katika eneo la Mkonoo, muriet alipokuwa amewapeleka Polisi kuonyesha washirika wenzake wa matukio ya utekaji.Kamànda wa Polisi Arusha ameeleza mapema leo.

311a0cd2952d60eb71cd34d26f665777.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
18 yrs haez kuwa peke ake, kisasi moja ya mguu zingemtosha sio kumuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike mahala wakague vyeti huko Jeshini. Unamuuaje mtuhumiwa kizembe hivyo? Kama ana mtandao wa uhalifu si ndio washakosa kuufahamu? Kuna muda watumie akili sio nguvu kila mahali.
Akili kama hizi hatuwezi kuendelea hata nchi kubwa kama Uingereza, Marekani Suspects wanauawa mtu aliyetaka kukimbia. Askari wanafanyaje? Kuna watuhumiwa ambao huwa ni wa kawaida ambao wanakua na escort ndogo huyo dogo anajaribu kuwakimbia Armed Police wenye difender 4. Lazima wamiminie Risasi na kuua huwa inahesabika kuwa ni bahati mbaya kwa sababu si lengo lao.
 
Back
Top Bottom