Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

You tube kila aina IPO na beginner ataelekezwa,Vitu vya awali.Kisha tafuta chuo rasmi ukajifunze kwa kina.
 
Arusha unacheza judo yako weee!! Ila wahuni wanakulia timing, tuu...mara paaa sime/panga ya mguu.....unakitwa beto ya abdomen...kwisha habari yako na judo yako....
judo ata wanawake wanacheza kirahici....njoo na panga lako kwenye michezo mingine uone kama hujaliacha na kukimbia
 
Mi nataka mchezo wa kumkata handas mgomvi, ile ya kumpiga pigo moja tu la kumkata wenge na asitamani kuendelea na ngumi hata kidogo!

Upi utanifaa wazee?
 
Kwa hali tuliyonayo sasa, kama umepata sehemu ya kujifunza nitonye mkuu. Kujiweka fit na watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom