Search results

  1. L

    Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

    Wana Jf. Wakati mambo juu ya sintofahamu ya nani mmiliki halali wa Airtel likiendelea kupamba moto kuna habari kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa waziri kwa kujimilikisha kinyemela hisa za Vodacom na kummilikisha mtoto wake Freddy...
  2. L

    Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

    Wana jf Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume...
  3. L

    CHADEMA hawana nia ya kukamata dola

    CHADEMA hawana 1. Gazeti 2. TV 3.Redio 4. Website Habari zao zote wanategemea viclip vya you tube na kutoka page ya Mange Kimambi. Ruzuku wanapokea zaidi ya milioni 300 wameshindwa hata kumiliki gazeti au hata TV? Sasa hivi wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi wameanza kuzisusa habari za...
  4. L

    CHADEMA tulieni Lowasa anataka siasa za kistaarabu na amani

    Wana Jf. Nimeshtushwa sana na kauli za baadhi ya wana CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi wanataka warudie siasa zao za kiuwanaharakati zilizokuwa zinafanywa na Dr. Slaa. Niwakumbushe tu Lowasa ameshapiga marufuku siasa hizo anataka siasa za kistaarabu na amani hata kama mmepigwa, mmeibiwa kura...
  5. L

    Simba inacheza mpira wa hovyo mpaka aibu.

    Wana jf, Jumapili nilihudhuria mechi ya Simba na Mbeya City hapaa Mbeya. Nilichokiona huko ni tofauti na matarajio yangu, kwa jinsi Simba inavyosifia kwenye vyombo vya habari nilidhani ni bonge la timu inayotandaza kabumbu safi . Nikiri tu wazi Simba ni timu yenye mpira wa hovyo sana., ball...
  6. L

    Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    Wana JF, Kuna kundi kubwa la wasomi wengi sana wenye videgree vyao uchwara vya sheria, ustawi wa jamii , biashara,uhasibu, injinia n.k kutoka vyuo vikuu UDSM, UDOM, SOKOINE, SUA, ST.AUGUSTINE na vyuo vingine feki wanaofanya kazi serikalini na secta binafsi waliokuwa na matarajio makubwa ya...
  7. L

    Nassari na Lema mna kesi, kumrekodi DC bila idhini yake ni kosa kisheria

    Kumrekodi mtu na kusambaza video zake bila idhini yake ni kosa la jinai Nasari na Lema mna kesi ya kujibu jiandaeni.
  8. L

    Ushauri kwa Rais: Makonda awe waziri wa Mambo Ya Ndani Mwigulu mpeleke TAMISEMI.

    Mheshimiwa Rais hongera sana kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kulinda rasilimali za Taifa zisiporwe na wazungu sisi Watanzania wanyonge tunakusupport na usonge mbele usitishwe na kelele za wezi na mafisadi wa rasilimali zetu. Kwenye uteuzi mdogo utakaoufanya wa baraza la mawaziri baada ya...
  9. L

    Natafuta betri ya laptop

    Natafuta betri ya Laptop ASUS.
  10. L

    Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

    Wana jf. Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA. Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA...
  11. L

    Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Wana JF. Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo. Mfano kwenye...
  12. L

    Anaeona Fixed Account zinafaida akaweke pesa za mshahara wake huko.

    Mtumishi yoyote wa umma anaeona Fixed Account ya mabenki ina faida akaweke mshahara wake huko..Mambo ya kuchezea pesa za serikali zinazotokana na kodi za Watanzania masikini mama ntilie, wakulima, machinga hatutaki. Pesa za serikali zikahifadhiwe BOT.
  13. L

    Kama una degree/ diploma na unashindwa kujiajiri wewe ni mzigo kwa Taifa

    Nashangaa sana kijana graduate una degree au diploma unashindwa kujiajiri wakati Tanzania fursa zipo nyingi sana za kujiajiri. Mashamba vijijini yamejaa hayana walimaji , biashara za kufanya zipo kila kona kuna watu wanaishi kwa kuuza maji tu. Vijana amkeni acheni kuzurura na vibahasha kutafuta...
  14. L

    Kama pesa hakuna mtaani, mbona foleni za magari hazipungui barabarani?

    Wanaosema pesa hakuna mtaani waje watuambie mbona foleni za magari barabarani hazipungui pesa za kujaza mafuta zinatoka wapi? Au magari siku hizi yanatumia maji?.
  15. L

    Lema kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela?

    Kwa mashtaka aliyofunguliwa Lema akishindwa kesi adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu jela. CHADEMA mjiandae kisaikolojia Lema safari hii hachomoki sheria ni msumeno.
  16. L

    Baada ya pesa kuadimika mitaani, ni wakati wa kurudia Barter Trade

    Tujiulize kabla ya pesa kuanza kutumika watu walikuwa hawaishi? Jibu walikuwa wanaishi kwa kufanya biashara ya kubadilishana bidhaa. Mfano una shida ya chumvi na una sukari badala ya kutumia pesa kununua chumvi unamtafuta mwenye chumvi unabadilishana unampa sukari maisha yanaendelea. Tusikariri...
  17. L

    Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

    Magufuli ana uchungu na nia nzuri na hii nchi tumsapoti tuache kuwasikiliza CHADEMA ya Lowasa hawana nia njema na nchi hii wanatupoteza wako kwa maslahi binafsi hawana uchungu na Watanzania.
  18. L

    Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

    NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja). Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
  19. L

    Watumishi wa serikali wanazisubiri milioni 50 kila kijiji

    Wana jf., Niko huku mikoani watumishi wa halmashauri wanazisubiri kwa hamu milioni 50 za kila kijiji ili wazitafune .
  20. L

    Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

    Wana jf. Dr.Wilbroad Slaa, rais wa mioyo yetu toka uchaguzi mkuu ufanyike yuko kimya hatujasikia maoni yake. Yuko wapi rais wa mioyo yetu,? Yuko Tanzania au bado yuko mapumzikoni Marekani? Dr. Slaa popote ulipo tunakuomba ujitokeze utoe maoni yako roho zetu zitulie...
Back
Top Bottom