Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,003
9,750
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
13510923_161223780962492_470517920149516297_n.jpg
 
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunua
 
Mkuu mbona hayo matangazo yana karibia mwezi, we ndo umejua leo
 
Masikini wana maneno..... Kwani umeambiwa show ni yako... Subiri yako ya 10000 itakuja mwakani au ata ileta ray navy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom