laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,731
Wana jf,
Jumapili nilihudhuria mechi ya Simba na Mbeya City hapaa Mbeya. Nilichokiona huko ni tofauti na matarajio yangu, kwa jinsi Simba inavyosifia kwenye vyombo vya habari nilidhani ni bonge la timu inayotandaza kabumbu safi .
Nikiri tu wazi Simba ni timu yenye mpira wa hovyo sana., ball possesion hawana, pasi hazifiki kwa walengwa. Okwi akipata mpira anakimbia tu kama mwehu hana malengo hata magoli anayofunga ni yakubahatisha tu, goli alilofunga Kichuya ni offside ya wazi kabisa , hata timu yangu ya nyumbani NJOMBE MJI inacheza mpira mzuri kupita Simba..Simba wajirekebishe watafute kocha mwingine kwa mpira huu ubingwa watausikia redioni tu. Nimejutia kiingilio nilichotoa na muda niliopoteza bora ningeenda kunywa bia