Lema kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela?

Lema kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela?

Kwa mashtaka aliyofunguliwa Lema akishindwa kesi adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu jela. CHADEMA mjiandae kisaikolojia Lema safari hii hachomoki sheria ni msumeno.
Unauhakika kwa vile majaji mwawateuwa wenyewe! Lakini kisheria hakuna kesi angefungwa Malema south africa
 
Muulizeni Samwel Doe alikuwa anatumia njia gani kwa wale waliokuwa wanampinga? Lakini na yeye jee ile siku yake ya mwisho alitoa kilio gani kama sio cha ng'ombe machinjioni?
Duniani hakuna mbabe, ukitenda ujue utatendwa zaidi
 
Tunashukuru Kwa taarifa Kwa hiyo tayari ana hatia? Kwa kuwa Mahakama in zenu sisi Mungu ni wetu
 
Back
Top Bottom