Search results

  1. ndyoko

    Bar za Babati na Limbwata la pombe: Njoo ushuhudie!

    Wamiliki wa baadhi ya baa za mji wa babati wamekuja na mtindo mpya. Huu unahusisha kuwawekea dawa za kienyeji wateja wanaowaona wana hela ili wawe wanywaji wa kudumu kwenye baa zao hali inayowafanya waingize kipato kizuri kupitia wanywaji hao. Hutokeaje? Wamiliki wakishajua wewe ni mtu mwenye...
  2. ndyoko

    Watoto wanasoma, dingi nasoma, nakomaje!

    Hakika usiombe ukutane na haya masaibu ninakutana nayo sasa. Huku kusoma uzeeni nako noma kweli. Jamani wale watoto walokuwa wanagomba kila siku wamekuwa na kwa sasa wanasoma....ila hawjaacha kuendelea kuchapana ila walu kwa sasa wako bize kidogo na shule, nikuiona wanaanza kuleteana mizengwe...
  3. ndyoko

    Somo la Kalenga na siasa zetu

    Hii maneno nimeichoropoa huko usokitabu (facebook). Imenishangaza kidogo nikaona hebu tuijadili. Napata shida kujua hali itakuwaje siku za mbeleni. Wapigakura walioandikishwa: 2010: = 71,000 Waliopiga kura: 2010 = 42,000 (29,000 hawakuona umuhimu wa uchaguzi)...
  4. ndyoko

    Mpenzi tujenge nyumba mbili ili tukiachana kila mtu awe na nyumba yake!

    Chonde jamani baadhi ya kina mama/dada/wasichana mbona mna roho kama za ajabu hivi. Unawezaje kumwambia mumeo tena wa ndoa maneno kama hayo? mweeee! Maneno haya amtamiwa mwanaume na mkewe wa ndoa wiki moja iliyopita. Kwa sasa jamaa hamuamini kabisa mkewe akihofia huenda huyu mwanamke atakuja...
  5. ndyoko

    Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

    Hakika ana uzuri wa asili hususani ngozi yake. Hata hivyo-mnisamehe kama ntakuwa nimekosea-siku ya utoaji tuzo, huyu binti ngozi yake ilionekana kama ametolewa toka kwenye matope, maana sehemu nyingine za ngozi zilikuwa zinag'aa kuliko zingine. Kuna wakati nlikuwa najiuliza huyu binti...
  6. ndyoko

    Habari ya Kufiwa na kaka yako inahusiana vipi na ahadi ulonipa?

    Jamaa yangu ananiomba ushauri afanyeje baada ya kupigiwa simu na kutolewa maneno ya ukali mpenzi wake wa kike akitaka ampe hela aliyomahidi siku moja kabla ya huyu kaka kufiwa na ndugu yake wa tumbo moja. Kuonyesha mtoto wa kike hajali hali iliyompata bf wake, yeye ameendelea ameshikilia...
  7. ndyoko

    Nani ale chakula meza moja na housegirl!

    Nilihuzunika sana mama mwenye nyumba alipotamka maneno haya. Hii imenitokea nilipoenda kwa rafiki yangu niliyesoma naye O level miaka ya 90. Nilishangaa kuona ingawa yeye ndiye aliyeandaa chakula, kilipofika mezani yeye alikuwa ameketi kwa mbali anangojea tumalize kula ili naye aje kusaza...
  8. ndyoko

    Uume kama wa punda nani anautaka: Peleka huko uume wako!

    Jamani wanaume kuweni wastaarabu. Kama mwanamke hakutaki acha kumkashifu utaishia kuaibika buree! Hii imemtokea kidume mmoja hapa manispaa ya Morogoro eneo la mazimbu. Baada ya njema kuchunwa vilivyo kwa takrbani miezi minne bila kupewa 'game' leo kamzukia shosti geto kwake akidai arudishiwe...
  9. ndyoko

    Mohamed Trans laua Polisi watano!

    Basi la Mohamed Trans limehusika kwenye ajali na gari dogo lililokuwa limebeba askari polisi na kuwauwa watu watano ambao wote ni askari polisi. Askari hao walikuwa wanatoka kwenye sherehe yao muda wa saa 11 asubuhi ya leo eneo la mtumba nje kidogo ya manisapaa ya Dodoma. Chanzo cha ajali...
  10. ndyoko

    Ubazazi huu wa wanaume, ingekuwaje kama wanawake ndo wanaowahi kufika 'kileleni'?

    Wapo ambao wanadai wanawake wengi wangekuwa wanapata vipigo wakati wa love making kwani wengi huwa kama wafu wanapopata orgasm. Wengine walidai eti wanaume wangekuwa vicheche zaidi ya walivyo sasa, maana kwa sasa tu wengi wao wanawahi kufika kileleni lakini bado tamaa mbele kama wamerogwa. Kali...
  11. ndyoko

    Ujangili wa kutisha wa Jeshi la Magereza mkoani Manyara!

    Zile taarifa kwamba majeshi ya Tanzania kuwa vinara wa ujangili wa maliasili umeendelea kujidhihirisha ambapo kwa mara nyingine moja ya majeshi ya Tanzania limehusika na ujangili wa wanyamapori mkoani Manyara. Taarifa za uhakika zinasema kuwa leo mida ya saa saba mchana gari la magereza...
  12. ndyoko

    Shosti mwanaume kaniharibu 'maumbile' yangu yule!

    Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili. Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa...
  13. ndyoko

    Mkiichagua CCM mirungi itakuwa ruksa na bure!

    Jamani leo nimeona niwaambie kituko cha kampeni za udiwani juzi pale Ilboru. Baada ya kukata tamaa juu ya uwezekano wa kupata kura mgombea wa CCM akatoa kali ya mwaka kwa watu wachache walokuja 'kumsikiliza' wakati anamwaga sera ili apewe udiwani. Kali ya mwaka aloitoa ni pale aliposema kwamba...
  14. ndyoko

    Kila nikimnyonya naishia kutapika, kumuacha siwezi sijui nifanyeje!

    Ama kweli mapenzi yana raha na karaha yake. Ila hii ya huyu dada ni kali kwa kweli. Kama ilivyo kawaida ya wadada walioshibana wawapo zaidi ya wawili, hawakosi kuongelea mambo yao ya ndani ya malovee. malalamiko ya shosti huyu ni juu ya mpenzi wake wa kiume ambaye amedumu naye kwa miezi sita...
  15. ndyoko

    Wanaume wenzangu tusichezee hisia za mapenzi za wanawake!

    Kwa kauli ya dhati kabisa nimeona niliseme hili baada ya kuumia moyoni niliposhuhudia manung'uniko na huzuni za shosti mmoja alipokuwa akibubujikwa na machozi ya 'damu' kwa mwenzake juu ya alichotendewa na mwanaume aliyedhani alikuwa na mapenzi ya kweli kwake. Mdada anadai kuwa kuna mwanaume...
  16. ndyoko

    Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

    Natumai wote ni buheri wa afya na mnaendelea kuvuta hewa ya bure tuliyopendelewa na mwenyezi Mungu. Kwa kweli hili limenifanya nishindwe kuvumilia. Leo mida ya saa 3 asubuhi nilipita mahali nikamkuta mhubiri injili anahubiri barabarani juu ya umuhimu wa 'kukoka'. Ilibidi nisimame niusikilize...
  17. ndyoko

    Shosti naona 'beki tatu' wako kaanza 'kunawiri': Mfukuze mwaya atakuibia mume huyo!!!!!!!!!!

    Hodi tena jamani. Kama kawa nawaletea umbea wa kweli! Labda niseme nina bahati mbaya sana kupanga nyumba moja na hawa mashostito. Bila kujua kwamba nipo ndani nimejipumzisha, wakaanza mastori yao ya kike. Walipomaliza kuwajadili wanawake warembo mtaani kwetu, mmoja akabadili mjadala na...
  18. ndyoko

    Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe!

    Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama walipotezana siku nyingi na baada ya kukumbatiana angalia maongezi yao! Dada A: Mwamwamwaaaaa! Za siku...
  19. ndyoko

    Rais wangu jaribu kukisoma kila unacholetewa mezani!

    Kwa mara nyingine tena Rais amepitisha muswaada kuwa sheria kandamizi ktk ustawi wa watanzania. Wakati CCM ikiendelea kuimba wimbo wa kutengeneza ajira kwa vijana kwa kutmia mkono wa kulia, imetumia mkono wa kushoto kuua juhudi zake yenyewe za kukuza ajira miongoni mwa vijana na watz wote kwa...
  20. ndyoko

    Mgawo wa umeme umepiga hodi Dom tangu jana!

    Leo ni siku ya pili sasa, mji wa dodoma umeanza kuwa na mgawo wa umeme. Kwa maeneo ya Kisasa mgawo umekuwa ukianza mida ya saa 8 usiku hadi saa 4 asubuhi. Leo ni siku ya pili mfululizo kitu kimeanza kunyanyasa. Huenda ule mgao 'feki' uliopangwa ili kuwanufaisha viongozi waandamizi wa nchi...
Back
Top Bottom