Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,655
Natumai wote ni buheri wa afya na mnaendelea kuvuta hewa ya bure tuliyopendelewa na mwenyezi Mungu.

Kwa kweli hili limenifanya nishindwe kuvumilia. Leo mida ya saa 3 asubuhi nilipita mahali nikamkuta mhubiri injili anahubiri barabarani juu ya umuhimu wa 'kukoka'.

Ilibidi nisimame niusikilize umbea wake, na kilichoniacha hoi ni hayo mahubiri yake. Alikuwa akiainisha aina za adhabu kila mtenda dhambi atakazopata kulingana na matendo yake.

'Jamaa' amedai eti imeandikwa kwamba 'KILA MUUZA POMBE' pindi atakapofariki mbele ya mwenyezi Mungu atakuwa amegandiwa mwili mzima na vifaa vyote alivyokuwa akitumia kuuzia pombe. Yaani madumu, vinjemu, chupa za gongo na mitambo yake, chupa za bia nk.

Kama wewe biashara yako ilikuwa ni kuuza condom, basi mwili mzima utakuwa umegandana na condom na utaulizwa umezipataje hizo condom.

Kali kuliko yote na kilichonifanya nilete huu uzi hapa jamvini ni kwamba anadai eti kwa wale ambao uzinzi kwao ni kama 'order of the day' ni kwamba pindi wakifa na kufika mbele ya Mwenyezi, basi miili yao itakuwa imegandanda na sehmu za siri za jinsia tofauti za wale ambao alikuwa akishirikiana nao kufanya uzinzi kwa wingi, idadi na jinsia alokuwa akishirikiana nazo kufanya huo uzinzi. Binafsi sio mtaalamu sana wa injili lakini hii sikuwahi kuisoma au kuisikia.

Bado sina uhakika kama hii ni kweli au si kweli. Na kama ni kweli, wewe unayesoma uzi huu hebu jiulize kama hili ni kweli, kama ni mwanaume mwili wako utakuwa umegandwa na Ks ngapi, na kama ni mwanamke can u imagine how many 'hangers' will be attached to your body? Nina uhakika wapo ambao watakuwa overloaded hadi kwenye nyayo za miguu.

Ni hayo tu kwa leo!!!!!!!!!!
 
Kheri yako wewe ulie zaliwa bila tendo la uzinzi
 
ndyoko

Peleka umbeya kwenye magazeti ya shigongo mnakuja huku kujaza saver
 
Last edited by a moderator:
NA WEWE NA AKILI ZAKO UKAENDELEA KUSIKILIZA HUU UPUUUZI!!! DAh!!!!!!!!!!!!
 
Mweeee?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hiyo ni kweli wala mungu hasemi uongo na hashindwi na kitu, na hizo tupu zitakua zimewaganda wakat wa kutoka makaburini kuelekea uwanja wa hesabu, na watapoingizwa motoni humo ndani ya moto mzinifu mwanamme atatundikwa kwa uume wake na mwanamke atatiwa ngoeko wawe wananing'inia katka moto, USHAURI: TUKIMBILIE ZAID NDOA KUEPUKA ADHABU
 
sipati picha !ahahahaahhahahhahhaah ndyoko bana!kwa hiyo inaweza ikawa kama hivi vile
article-1304481-0AD948B4000005DC-183_306x489.jpg
sasa hzo vitu vitu ndo K na dushe ahahahhahahhahahhahaha itakuwa balaa lol!
 
Hiyo ni kweli wala mungu hasemi uongo na hashindwi na kitu, na hizo tupu zitakua zimewaganda wakat wa kutoka makaburini kuelekea uwanja wa hesabu, na watapoingizwa motoni humo ndani ya moto mzinifu mwanamme atatundikwa kwa uume wake na mwanamke atatiwa ngoeko wawe wananing'inia katka moto, USHAURI: TUKIMBILIE ZAID NDOA KUEPUKA ADHABU

Mi naomba nisaidie 2 ni wapi kwny bibble pameandikwa hivyo!japo najua uzinzi ni dhambi
 
Ni kweli kwa mujibu wa dini ya Islam dhakari au furuji za wanaume au wanawake wote uliozini nao zitakuwepo kwenywe miili yao!!
 
Mi naomba nisaidie 2 ni wapi kwny bibble pameandikwa hivyo!japo najua uzinzi ni dhambi

kila mmoja na dini yake na kama yeye ametoa katka injil halkadhalika nami nimetoa kwa hadithi za mtume wetu nae hasemi kwamatamanio yake ila hushushiwa wahyi, na mola wetu hasemi uongo wala atengui ahadi zake
 
Kwa hiyo izo nyeti zikikugandia utaendelea kuruhusiwa kuzigegeda wakati unasubiria hukumu???

Utaruhusiwa kufanya upendavyo ila wewe mwenyewe hutaweza kufanya chochote zaid ya kuikhofia nafsi yako kwa fadhaha ya siku hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom