Nani ale chakula meza moja na housegirl!

Nani ale chakula meza moja na housegirl!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,655
Nilihuzunika sana mama mwenye nyumba alipotamka maneno haya.

Hii imenitokea nilipoenda kwa rafiki yangu niliyesoma naye O level miaka ya 90. Nilishangaa kuona ingawa yeye ndiye aliyeandaa chakula, kilipofika mezani yeye alikuwa ameketi kwa mbali anangojea tumalize kula ili naye aje kusaza mabaki.

Nilishindwa kuvumilia baadae nikauliza-wakati tunaendelea kula - iwaje msichana wa kazi hajajumuika nasi mezani.

Shemeji aliibuka na kujibu, nanukuu 'nani ale chakula meza moja na housegirl? Niliposikia maneno hayo nilikaa kimya, maana shemeji alionekana wazi hapendi kula chakula pamoja na housegirl.

Chondechonde mnaoishi na hawa mugro, jamani tuwachukulie mamugro aka beki tatu kama binadamu, kama anakupikia mlo, anakulelea wanao, na mambo mengine mengi, inakuwaje unamchukulia kama mbwa au paka anayengojea bosi ale halafu yeye atupiwe mifupa au makombo! Tubadilike jamani hasa nyie kina mama wenye nyumba, mweeeeee!
 
Aisee lazima huyo house girl aliwachanganyia na ma.vi kwenye chakula.Chezeya house girl weye!!
 
kubaguana wakati wa kula haswa kwa mtu aliyetayarishia chakula ni hatari sana! maana siku umemboa hachelewi kukuwekea sumu ya panya akijua fika hamli meza moja!
 

mijtu mingine ina roho mbaya
siku akikuta mtoto kawekwa kwny fridge
sijui atamlaumu nani,kwani hg sio mtu?
 
hawa watu wapo ila cha kufanya unamwambia hapohapo kwamba si sahihi,niliwahi kupata wageni ilikuwa ni familia ya watu sita baba mama na watoto wao wanne,wakakuta mimi na binti yangu wa kazi tunawaandalia chakula ikabidi nitenge watoto wakae dinning na binti yangu akawa anakula nao,huyu mama mgeni hakupata amani gafla akaanza kumtuma binti yule wa kazi kwa vile nilimuelewa nikamwambia aniagize mimi anachotaka kwani yule anakula,hapo pozi lilimuisha na baadae mume wake akashukuru kwamba mke wake atajifunza maana huwa anawatenda vibaya mabinti(mke hakusikia mume alichosema),kipindi kingine tukaenda kwao nikaona amefanya nilivyofanya kwangu sema akawa anajisahau anamwambia "dada acha kula kwanza njoo utoe vyombo" ambapo angeweza kufanya mwenyewe,tuwathamini na kuwapenda wadada wanaotusaidia kazi,
 
Inategemeana na alikotoka huyo mwenye nyumba. Akiwa ametokea kwenye umasikini ghafla akajikuta ana kanafasi kadogo, watu wa jinzi hiyo nakuambia lazima wawakatae watu wadogo. Anamkumbusha mbali atiii.
Jamani, mchele ni safi ukiwa haujatiwa maji, ukiishatiwa maji umeharibika huo. Hicho chakula ni chema hakijaepuliwa, kikiisha epuliwa hayo ni ma.vi tuu. Unawezaje munyima mtu mbolea??
Kwa ufahamisho wako, wengi wenye kiroho hicho cha kuwanyima wengine vyakula vilivyopikwa wana ugonjwa fulani hivi unaowanyima wasile. Utaujua mwenyewe nisipigwe ban hapa.
Housegirl namheshimu mno mno. Ana uhai wangu mikononi mwake. Sili kwa raha nisipomwona akiwa mezani pamoja na sisi. Tena natamani hata aanze yeye kula kwanza ndipo nile kwani kukuua ni rahisi tu.
Wamama wengine wana tenga chakula special kwa waume zao, poleni mabwana wenye matumbo ya aina hiyo. Unatembea na sanda yako weye. Hutajua kilicho kuua.
House girl, ndiye mnamwachia mimali yoote humo nyumbani, anaichunga mpaka mnaporudi jioni. House girl ndiye anawalea watoto wenu wachanga mpaka mnarudi jioni, mama umechoka, baba umechoka na stress za kazi hata kucheka na mtoto huwezi, unafikiri mtoto hajui furaha ya kweli? Mtendee mema housegirl wako ili akikutenda mabaya Mungu amlipe.
 
Mmh... acha wawabague mahouse girl maana wao wanajiona elite class but kaburi na funza wa udongoni hawabagui maiti!
 
Ingekuwa mie ningeacha hicho chakula mezani na kuondoka! Nyambaf zake huyu shemeji lofa
 
ndyoko upo?

Huyo shemejio ni mshamba, subiri siku atiliwe mavi kwenye msosi akili itamkaa sawa

Halafu hg nae ni binadamu hapo anatafuta tu, asipende kudharau watu
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh so sad ungewapa makavu laivu hata kama ni mgeni huo ni ujinga aliyeandaa chakula anabaguliwa ndo hao ambao house girl anawachanganyia mkojo kwenye chai halafu wanakuja kulalama hapa na kujitetea eti tunawajali
 
yaaani mimi najisikia vibaya hawa watu wakiteseka
wamenilea tangu chekekea mpaka leo niko first year
na kwetu ukija huwezi kujua nani dada wa kazi nani binti wa mwenyenyumba
wote tunapendezeshwa kwa usawa kuanzia chini hadi juu
ingawa mimi ni wa mwisho na wa kike pekeee no kudekadeka kazi kama kawa
na kama nipo home dada huwa anapumzika siku ya jumamosi me ndo nashika usukani yaani mpaka uchunguze sana ndo utajua
na binti hata kwenda kwao hataki tuko nae mwaka wa 7 anasema kuacha kwake kazi hadi atakapoolewa
 
Aisee lazima huyo house girl aliwachanganyia na ma.vi kwenye chakula.Chezeya house girl weye!!

Hoja yako haina mantiki kwa kuwa, kama mnakula pamoja ndiyo hawezi kuchanganya kitu chenye madhara kwa kuwa na yeye si atakula hicho hicho?!

Ila kama wakati wa kula mnamtenga wakati yeye ndiye alikuwa mpishi si ajabu akawachanganyia!
 
Mimi ma-house girl wangu wote wanakaa nao vizuri sana, maana siku MAMA NG'INA akinuna, wananitunuku na kuniondolea stress!
 
mbona wanapowabaka na kuwatia mimba huwa hawaulizi nani amgegede house girl?

house girl sio SHETANI!.. na yeye anahitaji kupendwa na kujaliwa!
 
Back
Top Bottom