Search results

  1. S

    IN Dallar US

    Wadau kuna Watanzania Dallars, Kama yupo na atakuwa free an inbox number yake
  2. S

    Msaada wadau

    Wadau naomba mnisaidie kupata number za wahusika wa bendi hizi B-Band and Banana Zorro Inafrika Band na Wanne Star Kilimanjaro Band Please wadau nisaidieni
  3. S

    Invoice zinatisha

    Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh...
  4. S

    In Mpanda

    Kuna rafiki yeyote huku jamani!!!! very bored
  5. S

    Wanaume tuwe wastaarabu

    Sasa hii nini
  6. S

    On the way to lindi

    Wadau wa lindi, Naomba mnishauri hoteli nzuri ya kufikia nikiwa Lindi. Mwajifya inno!!!
  7. S

    umeshawahi sikia hii

    Kuna baadhi ya mabinti ukijitusu kumega (kufanya nae ngono) kuna mawili 1. Kama unafanya kazi lazima upoteze gazi 2. Upoteze uhai Inshort utaandamwa na mikosi mpaka hapo utakapo amua kuachana nae.... na kuna wapo wengine ukimega tu, njia zinafunguka tuu!!
  8. S

    Wadada why this

    Hivi kwa ninyi madada, mawifi, mama wakwe..... Hivi ni kwanini mwanamke mwenzenu anapochelewa kupata mtoto akiwa ndani ya ndoa huwa mnapenda kuwasimanga. Mara mjaza choo, anakula vya mwanao/kaka ako bure. Hamjui alie kuwa wewe ndio amemnyima yeye. Au bado anasubiri majira ya Bwana! please...
  9. S

    Msaada- Daktari wa Masikio

    Ndugu, Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Mungu awabariki.
  10. S

    Wadada Jamani!!

    Hivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
  11. S

    Wanawake msaada!

    Wadada naomba mnisaidie, mnapokuwa kwenye uchumba ni kutoa unyumba kwa wenzi wenu ni rahisi sana tena bila masharti sasa kwa nini mkiolewa inakuwa ngumu sana kutoa unyumba na kuja na sababu kibao mara nimechoka, ninausingizi. Je, hudhani kwa kufanya hivi ni kumfanya mumeo awe na mapoozeo?
  12. S

    Mashoga na wasagaji ndani ya tansoma hotel

    Kwa habari nilizozipata just now, mashoga na wasagaji wa Tanzania wako kwenye kikao cha kujadili haki zao ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo Tansoma hotel. THIS IS TOO MUCH
  13. S

    Elections 2010 Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka

    Huyu mtabiri bado hajasema neno......
Back
Top Bottom