IN Dallar US

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Wadau kuna Watanzania Dallars, Kama yupo na atakuwa free an inbox number yake
 
Una vihela vinakuwasha eee.......shauri yako,wenzako wengi wanajuta kujuana na WaTZ wenzao,maana kuna baadhi yao ni nourmaaaaaa!
 
:biggrin1:tuelezeni mtakua wapi vizuri ili tutume immigration huko kwa ambao hawana visa warudi nyumbani wakaiendeleze nchi yetu
 
We njoo kichwakichwa hapa state usiporudi uchi kama ulivozaliwa tena kwa msaada wa embassy,wengi wamelizwa kwa style yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom