On the way to lindi

On the way to lindi

SMART1

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
133
Reaction score
48
Wadau wa lindi,
Naomba mnishauri hoteli nzuri ya kufikia nikiwa Lindi.

Mwajifya inno!!!
 
karibu sana kwetu lindi, hotel ipo nzuri sana inaitwa lindi oceanic hotel, unakula upepo wa bahari, ila bei yake ni ndefu kidogo kwa wale wenye allowance za serikal.
Zip nyingine nzuri tu kama Adela, Kadogoo, Vision hotel n.k. Karibu sana Lindi ila kumbuka vitu cheap huku ni chumvi na mademu. take care usije ukajione handsome kwani huku ni fully kujiachia na wamwela na wamakonde.
 
Na akumbuke tuu kuwa ukijiachia na mke wa mtu kuna ile kitu wanasema unang'ang'ania mpaka kmwenye mali aje achomoe kisu kutoka kweney ala zake
 
karibu sana kwetu lindi, hotel ipo nzuri sana inaitwa lindi oceanic hotel, unakula upepo wa bahari, ila bei yake ni ndefu kidogo kwa wale wenye allowance za serikal.
Zip nyingine nzuri tu kama Adela, Kadogoo, Vision hotel n.k. Karibu sana Lindi ila kumbuka vitu cheap huku ni chumvi na mademu. take care usije ukajione handsome kwani huku ni fully kujiachia na wamwela na wamakonde.
maneno haya niliambiwa wakati nafika mtwara ni ya kweli aiseeee, mgeni chunga!!!!!!!!!!!! Akiweza pia afike mtwara!
 
Dah, wadau nilifika Lindi around saa 3 usiku hivi, ikanichukua kama saa nzima kupata sehemu ya kulala. Nashukuu sana wadau.. nilifika hadi Masasi, Mtwara na sasa nimesharudi dar> hoteli zote Lindi zilikuwa zimejaa sijui sababu ya ujio wa JK. nilikaka next to Mkoani kuna Lodge ya waitaliano nzuri sana iko mlimani flani hivi.
Ahsanteni wadau
 
okay, karibu tena mkuu, ulifikia wailes lodge, hiyo ndo karibu na mkoani! thanks
 
hizo ni wa mafungu marefu kwa wale ukipata ka semina unataka kubana matumizi,zipo lodge guest house cheap around stadium chakula kuna restaurant ya Himo
 
karibu sana kwetu lindi, hotel ipo nzuri sana inaitwa lindi oceanic hotel, unakula upepo wa bahari, ila bei yake ni ndefu kidogo kwa wale wenye allowance za serikal.
Zip nyingine nzuri tu kama Adela, Kadogoo, Vision hotel n.k. Karibu sana Lindi ila kumbuka vitu cheap huku ni chumvi na mademu. take care usije ukajione handsome kwani huku ni fully kujiachia na wamwela na wamakonde.
Mji wa KIMWINYI ule hauna HOTEL nzuri...............
 
Back
Top Bottom