umeshawahi sikia hii

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Kuna baadhi ya mabinti ukijitusu kumega (kufanya nae ngono) kuna mawili
1. Kama unafanya kazi lazima upoteze gazi
2. Upoteze uhai
Inshort utaandamwa na mikosi mpaka hapo utakapo amua kuachana nae....

na kuna wapo wengine ukimega tu, njia zinafunguka tuu!!

acha uzushi, kama una mikosi hiyo ni yako,. Hivi nyie wanaume mnatuchukuliaje mabinti/wanawake?

Aiseeeee!...ila nafiri liko kiimani zaidi,.....anyway_what you see is what you get

Inawezekana, kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi kila mtu geni lazima awe warned kuhusu mdada flani hivi maana watu waliogonga wote walipoteza ajira

Inawezekana, kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi kila mtu geni lazima awe warned kuhusu mdada flani hivi maana watu waliogonga wote walipoteza ajira

eti eeeeeeeeee!....inawezekana huyu dada alikua chakula cha bosi

Kuna baadhi ya mabinti ukijitusu kumega (kufanya nae ngono) kuna mawili

1. Kama unafanya kazi lazima upoteze gazi

2. Upoteze uhai

Inshort utaandamwa na mikosi mpaka hapo utakapo amua kuachana nae....

na kuna wapo wengine ukimega tu, njia zinafunguka tuu!!

sijakupata vizuri hapo kwenye namba moja unaposema lazima upoteze gazi!

sina hakika kama ulikuwa unamaanisha gazi kama gazi,
ngazi, au ganzi, please correct it au tuhakikishie kuwa ndo ulichomaanisha.

sijakupata vizuri hapo kwenye namba moja unaposema lazima upoteze gazi!

sina hakika kama ulikuwa unamaanisha gazi kama gazi,
ngazi, au ganzi, please correct it au tuhakikishie kuwa ndo ulichomaanisha.

Ndugu namaanisha KAZI makosa ya kiuandishi hayo

sijajua kama ni kweli lakini mimi huwa nahisi ni kweli, nilishawahi kumtongoza binti moja, nakumbuka hata kunikubalia hakunikubalia ila nilipofika home cha kwanza niliunguza radio, mh kila mtu nilikuwa sielewani nae

nikawaza ilikuaje? Na kama angenikubalia ingekuwaje?

Fb na wewe una hizi imani mkuu

Ni kweli kuna mabinti wengine nuksi mfano kuna binti nilimmega jana leo nikafukuzwa shule hiyo ilikuwa form 3..

kha, mademu wengine wana gundu mkuu. Lazima tukubali.
mkuu hiyo ni kweli hata hapa kwetu kulikuwa na demu mmoja jina ............?kila mtu aliye do naye palikuwa hapatoshi kati yake na boss na mwisho wa cik walipoteza kazi zao.

Ni kweli kuna mabinti wengine nuksi mfano kuna binti nilimmega jana leo nikafukuzwa shule hiyo ilikuwa form 3..

Aahh haya mambo ya marehemu yahaya sijui bado majini yake yapo yanazunguka tuu nchi hii ni yatawasumbua sana tuu!

Ni kweli wanaitwa Mlango wa saba niliwahi kuwa na uhusiano ofisini na binti mmoja ilikuwa ni kasheshe na bosi kila leo ilipita miezi 6 summary dismisal,MUNGU mkubwa nlipata job sehemu nyingine from no where matatizo yakaanza tena baada ya mwezi nlisimamishwa job,MAMA yangu akaniambia kama unampenzi angalia anaweza kuwa sababu ya mikosi ,before sikuwaga na matatizo ofisini kwa utulivu nlimwambia yule mdada kuna shida kati yetu uhusiano ukafa,toka nimeachana yule binti niko peace job ,hakuna mkwaruzano,wapo wanawake ni nuksi na wengine ni baraka si kwamba hampendani ila mambo hayasogei tu,kama ww ni mfanyabiashara kuna watu wakikaa dukani mauzo yanakuwa makubwa kuna watu wanafukuzisha wateja wote!

Imani tu hiyo,wengi huwa wanasema hivyo,hata wanaume pia wanahusishwa na tuhuma hizo.ni vizuri kumwamini MUNGU ktk kila jambo.

Back
Top Bottom