Search results

  1. youngdonats18

    Kwanini wo wo wo na si sehemu nyingine, tujadili karibuni

    Wakuu wanajamvi,wake kwa waume,wababa kwa wamama , lladies and gentlemen km mm,wachuma ulete na watafutaji Habari ya kwenu! Me niko poa. Jion ya leo imenipendeza kuwashirikisha hili swala la kwann wo wo wo immekua sehem maarufu na pendwa zaidi ktk mwili wa mwanamke kuliko hata papuchi. Nawaza...
  2. youngdonats18

    Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

    Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z watu badala ya kujenga hoja. Nikiwa moja ya watumiaji wa jukwaa la mahusiano na celebrity forum...
  3. youngdonats18

    Ewe mwanamke ni bora ujiongezee kishundu(mkia) kuliko kujichubua

    Kiukwel hawa dada zangu wa mjin wanaojikoboa usoni afu wanasahau sehem za ndan yaan unakuta akivua unaona rangi mchanganyo km vile upinde wa mvua shenz sana. Ni moja ya kundi la wadada ambao me situmii kabsa maisha yangu yote. Me napendaga wale wanakua na karangi flan iv brown bila kusahau...
  4. youngdonats18

    Kwanini heshima anayopewa FID Q na wabongo kwenye HipHop haitendei haki?

    Wadau wa tasnia ya burudan ya bongofleva kwanza rejea kwny mada tajwa hapo juu. Kwny tasnia ya muziki wa hip hop tuna Faridi Kubanda aka Fid Q binafsi naona ni mtu ambae anapewa heshima sana na wanahiphop wa bongo na amewah kutajwa km mwanahip hop bora namba moja kwa tz lakini naona heshima hii...
  5. youngdonats18

    Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

    Sidhan katika hili km kuna haja ya mtu kutoa mapovu humu ila tuchangie mitazamo yetu kwa namna ambao kila mtu analichukulia Me sometimes mtu akicomment nataman nijue sex yake ili nijue nareply kivip coz lazma tukubaliane kureply text ya female ni tofauti na male, sasa huwa nasikitika sana pale...
  6. youngdonats18

    Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

    Jamani imekua kama taarifa za hivi punde za ITV yani mara paap nakutana na mrembo machachari wa JF kaweka picha yangu kwenye avatar yake nadhani mimi ndo wa kwanza kuwahi kutokea toka JF imeanza. Naomba mnipe hatua za kufanya katika hili swala, nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote...
  7. youngdonats18

    Tuambiane vipindi bora vya tv kwa wiki, kwangu hivi ni bora

    Nataman kujua vipindi mbalimbali vya television za Tanzania vilivyobora kwa nyakat mbalimbali ili nikipta wasaa wa kukaa mbele ya tv nipate kuona madini ya maana Nasema hili coz kuna baadhi ya channels ambazo sijawah kutazama kwa namna yoyote ile km st**tv na channel 1* bila kujua km kuna mambo...
  8. youngdonats18

    EATV mnavyoshabikia upuuzi wa Calisah mnaboa

    Wakubwa hiki kitu naona imenifika kohon sababu ya hawa jamaa wa Eatv radio kuwa na kuhelehele cha kumhoji na kumpost nshu za calisah kila siku yaan kila wakipost huko twitter ni kuhsu calisah tu mara hili mara kesho lile mpaka nikaja kugundua kwmb so mm pekee ninaeudhuka na nshu za huyu jmaa pia...
  9. youngdonats18

    Kwa utafiti huu wanaume kazi tunayo,yawezekana wanaume wengi so wazima

    Kuna taasisi ya afya ya marekan inayoitwa ATTN jana tar 17.june. 2017 imetoa taarifa ya utafiti km inaeleza hapa chini Kwa kikwetu ni sawa na kwa mwanaume kuepuka saratani ya tezi dume inatakiwa kupizi yaan kumwaga mbegu za kiume mara 21 kwa mwezi. Hii hatar sana wale wa masterbation na...
  10. youngdonats18

    Watanzania mteremko mpaka lini? Ilianza kwa Miss Tz alipoenda Miss World na sasa kwa Diamond na Kiba

    Hii kitu nimeanza kuwaza toka usiku na nimeamka asubuh moja kwa moja mpaka JF celebrities forum kutoa mapovu yangu kwa watz ama wabongo. Huu uzi unatokana na tabia ya wabongo kuamini ktk mtelemko katika kushiriki na kushinda matuzo makubwa kama Miss World na BET na mengineyo. Kipindi Miss...
  11. youngdonats18

    Hivi hii tabia ya wanawake kumsalimia mpenzi wako kwa shikamoo nini maana yake?

    Hii tabia niliiona kwa rafiki yangu na msichana wake yaani unakuta msichana is of ur age kabisa umri sawa yani afu anakusalimia eti shikamoo bila aibu kabisa, cha kushangaza imenikuta na mimi na mpenzi wangu mdada mmoja wa Tanga nikipokea simu yake cha kwanza tu utasikia shikamoo flani serious...
  12. youngdonats18

    Utafiti: Jamiiforums mtandao wenye watumiaji wachoyo wa likes

    Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma...
  13. youngdonats18

    Wema Sepetu aapa kuirudisha bongoMovies ktk ubora wake km zaman

    Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa Katika hili yatupasa kuonesha mapenzi ya, dhati kwa princess wetu
  14. youngdonats18

    WCB hawasikikí, je ni woga wa kushindwa kupenya kwenye huu ushindani wa sasa?

    Ni swala ambalo liko wazi kwamba kwa sasa hakuna kokoro, wala kijuso kwny raman ya bongofleva, inaweza kuwa kweli kwamba diamond anasubiri game lipoe kwanza ndo awaruhusu vijana wake kutoa kazi ama vipi, maoni yenu wadau
  15. youngdonats18

    Hivi shows za Marekani na Ulaya ni ishara ya kukua kwa bongofleva ama tunalazimisha kutaka sifa?

    Alianza Simba Diamond Platnumz, mara Rayvanny, Harmonize na Mavoko wakatia timu pande zile na week hii kaibuka wakuitwa King Kiba nae anaanza tour Ulaya na Marekani na mpaka muda huu Malaika wa raruararua yuko kwenye viunga vya US. Jamani hivi hizi shows zinaonyesha dalili yoyote ya kukua kwa...
  16. youngdonats18

    Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

    Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
  17. youngdonats18

    Nini hatma ya darasa na cloudsmedia ktk kufanana kwa brand moja ya CMG

    Naomba kujua wanajf kwa wafatiliaji wanafahamu kuwa darasa ni mmiliki wa rekodi lebo iitwayo CMG yan Classic Music Group na kwa wakati huohuo cloudsmedia wanafahamika km CMG yaan Clouds Media Group, wanandugu cjui hatma ya cmg ya darasa mana amekutana na komesha ya bongofleva
  18. youngdonats18

    Ukweli Mtupu: Haya ndio yanayotegemewa kushika hatamu na masikio ya Watanzania kwa muda mrefu

    Bila kupinga uwepo wa kazi nzuri ya muziki ya Darasa kwa sasa, lakini ninaamini itakapotokea Diamond kushirikishwa na Wema kwenye bongo movie ama Alikiba na Platnumz wakitoa collabo, huku Ommy dimpoz akiwa video model ndani ya mwaka huu basi ndo matukio yatakayojizolea umaarufu mkubwa na kufunga...
  19. youngdonats18

    Afande Sele aelezea kwanini akifa anataka mwili wake uchomwe moto - TZA_MillardAyo

    ‘Hii ni imani ambayo nimeifikiria muda mrefu na nikajua lazima niifate, kila mtu ana kitu ambacho anakiamini na kwangu naamini moto ndio kila kitu kwenye maisha, kama maandiko yanavyosema Mungu ni moto ulao… naamini moto ndio mfumo ambao hata Mungu anatokana na moto wenyewe‘ – Afande Sele...
  20. youngdonats18

    Trace Tv ya Ufaransa na MTV Base Africa, which is which?

    Nduguz me naomba kuuliza then nijue juu la hili swala kwamba kati ya Trace Tv na Mtv base ipi ni stronger than the other , and most influencial ktk kumfanya msanii kuwa famous kwa haraka pale apatapo airtym ktk kituo husika, coz huwa km celew kila siku mara fulan kapokelewa na kituo kikubwa cha...
Back
Top Bottom