youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Ni swala ambalo liko wazi kwamba kwa sasa hakuna kokoro, wala kijuso kwny raman ya bongofleva, inaweza kuwa kweli kwamba diamond anasubiri game lipoe kwanza ndo awaruhusu vijana wake kutoa kazi ama vipi, maoni yenu wadau