Utafiti: Jamiiforums mtandao wenye watumiaji wachoyo wa likes

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
685
443
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
 
Ndiyo ujue kutofautisha JF na FB au IG.....kama comment haina mashiko hamna anayejielewa kugonga like..
 
Like kwangu haina maana sana kama nitajiridhisha nimetoa UZI ama nimeunga mkono MADA yeyote kwa BUSARA......

wana JF sometimes we/they are out of MINDS...... ukizingua utakutana na za USO....

Hivyo wingi wa likes inategemeana na "WANA" wameamkaje....
 
Tatizo sio like. Issue ni uzi au comments zako. Je umeweka uzi kwenye jukwaa husika? Comments zina mashiko kulingana na thread yenyewe? Mana kuna watu wanaweka comments za jokes kwenye nyuzi ambazo zipo may be jukwaa la hoja au siasa, refer barbarosa. Huwezi pata like asilani.
 
Kwa JF majukwaa yenye followers weng ni celebrities forum, jukwaa la siasa na la mapenz, ila likes kwa kila thread ikizid sana ni 5 cjui ndo mwisho au vip
 
Huo utafiti uliofanya vile kama umekurupuka, tulia tena rudia utapata majibu.
 
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Unazo tano tosha kabisa
 
Back
Top Bottom