youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Alianza Simba Diamond Platnumz, mara Rayvanny, Harmonize na Mavoko wakatia timu pande zile na week hii kaibuka wakuitwa King Kiba nae anaanza tour Ulaya na Marekani na mpaka muda huu Malaika wa raruararua yuko kwenye viunga vya US.
Jamani hivi hizi shows zinaonyesha dalili yoyote ya kukua kwa bongofleva ama ni kujibu mapigo ya mtu kutafuta droo?
Naomba tulojaaliwa utashi tufunguke ya moyoni.
Jamani hivi hizi shows zinaonyesha dalili yoyote ya kukua kwa bongofleva ama ni kujibu mapigo ya mtu kutafuta droo?
Naomba tulojaaliwa utashi tufunguke ya moyoni.