Search results

  1. MLALUKO JR

    Shika hapo hapo

    NYUKI UMENING'ATA Ewe nyuki, ewe nyuki, ewe nyuki. Itika nakuita. Kwanini lakini ewe Nyuki? Umenifanya niumie, niteseke, niweweseke. UNANIONEA. Asali ninaonja, kidogo na si sana. NAFURAHIA. Ila kwanini unidunge?. Unidunge kwa sindano?. Sindano kali ya uchungu. UNANIONEA. Kwa ufundi...
  2. MLALUKO JR

    Tiba ya uume kulegea

    http://jukwaalaafya.ml/2018/01/01/tiba-ya-uume-kulegeaerectile-dysfunction-kupitia-lishe/
  3. MLALUKO JR

    Tatizo la Mwanamke kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi

    http://jukwaalaafya.ml/2018/03/24/tatizo-la-mwanamke-kutokwa-na-damu-nyingi-au-mfululizo-wakati-wa-hedhimenorrhgia/
  4. MLALUKO JR

    Mazoezi rafiki kwa nguvu za kiume

    http://jukwaalaafya.ml/2018/03/13/yajue-mazoezi-rafiki-kwa-nguvu-za-kiume/
  5. MLALUKO JR

    UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

    http://jukwaalaafya.ml/2018/03/13/yajue-mazoezi-rafiki-kwa-nguvu-za-kiume/
  6. MLALUKO JR

    Ugumba na sababu zake

    http://jukwaalaafya.ml/2017/11/27/tatizo-la-kushindwa-kushika-mimba-kwa-wanawakeugumba/
  7. MLALUKO JR

    Zijue dalili mwanamke katika siku za hatari kubeba ujauzito

    http://jukwaalaafya.ml/2018/03/26/zijue-dalili-za-mwanamke-aliye-katika-kipindi-cha-hatarifertile-period/
  8. MLALUKO JR

    Nimegundua: Wanawake hufa mapenzini

    Habarini zenu wanaJF, Poleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika. Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu. Straight to the point; mimi ni kijana barobaro, umri 20s. Kuna dada niliweka nia kumuoa kama mambo yakikaa sawa (sijawahi kuwa nae katika...
  9. MLALUKO JR

    Temporary Teacher:Wenye uwezo Wa kufundisha sayansi O'level wanahitajika.

    Walio tayari kufanya kazi wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma,wanakaribishwa.
  10. MLALUKO JR

    JamiiForums Addiction

    Habari wanaJf Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani?? Maana nahisi si hali ya kawaida!! Tupeane uzoefu na ushauri pia![emoji120] [emoji120] [emoji120]
  11. MLALUKO JR

    Mnada: Njia mpya ya Utapeli, tujiepushe!

    Habarini za muda huu ndugu zangu wanajamvi wa JF. Ninapenda kuwapongeza wote mliofanikiwa kupewa pumzi na utambuzi kifikra mpaka leo,Ashukuriwe MwenyeEnzi Mungu[emoji120] Napenda kuwa tahadharisha kuwa sasa kuna utapeli kupitia minada ya vitu mbalimbali ambayo mara nyingi hufanyika maeneo ya...
  12. MLALUKO JR

    Mama: Mwanangu ukioa usimuoe mwanamke wa namna hii!!

    Habarini wa JF. Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher. Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara nyingi mke anakuwa hana heshima na uthamini kwako??? Maana hiyo ni kauli niliyosikia mzazi akimwambia...
  13. MLALUKO JR

    Kimbilio langu ,Jamii Forums

    Ni sehemu ambayo ninayoweza kuiruhusu akili yangu kutulia na kupunguza stress. Huku story na mada zilizoshiba ndio nyumbani Kwao,yaani tamu isiyoisha hamu!! Comment za kufungua utambuzi na za zingne za kukufanya ucheke na kufurahi,mfano:The bold,Gentamycine,Mshana Jr,Shunie( ),miss...
  14. MLALUKO JR

    Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

    Habarini wanaMMU, Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha. Ni hatari sana maisha hayo. Kama ulipitia maisha hayo tupe experience yako. Karibu!!!!!!!
  15. MLALUKO JR

    Leka Dutigite:Wazawa Wa kigoma tufamiane.

    Mimi ni mzawa Wa kigoma maeneo ya Kasulu Mjini. Kama nawe ni Wa huko tufahamiane. Tulashashe!Numuze gaa
  16. MLALUKO JR

    Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

    Habarini Jf members, Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha. Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni: 1:Mke wa Rais 2:Peniela(story ya kijasusi) 3:Nililala na maiti nitajirike. Kwangu story ya "Mke Wa Rais" imekuwa story ya Funga mwaka chini ya...
  17. MLALUKO JR

    Serikali, Baada ya kuwafukuza UDOM vijana wetu, haya ndiyo wanayokumbana nayo Vyuoni

    Habarini wanaJF. Mimi leo imekuwa siku yangu nzito na ngumu imeyonifanya niwaze na kuwaza bila kupata majibu . Wote tunakumbuka tukio la vijana waliokuwa wanasoma special program ya sayansi ktk chuo cha Udom,Dodoma kufukuzwa ktk hali isiyo ya kibiinadamu na kuwaacha na taharuki na...
  18. MLALUKO JR

    Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

    Habari zenu wanaJf. Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa. Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya. Napenda...
  19. MLALUKO JR

    Wapenzi: Kuagana gani huku?

    Hi!to All. Eti wadau kwanini kufanya mapenzi au kuchumu kati ya wapenzi wawili ndio huchuliwa kawa namna ya kuagana??? Kuna umuhimu gani kufanya hivyo??? "mapenzi upofu kweli!!!"
  20. MLALUKO JR

    Mdau:Mwaka 2016 umekuwaje kwako??.

    Helooooooooo wanaJamvi!!! Kwa uso wa bashasha n furaha napenda kukusalimu "Habari za Leo". Upande wangu ninafuraha kwa kuwa bado ninaendelea kupewa bonus ya kuendelea Kuishi kwa kudra za Muumba. Pia naweza kusema mwaka huu unaolekea kumalizika in shaa Allah umekuwa na mchanganyiko wa raha na...
Back
Top Bottom