Kimbilio langu ,Jamii Forums

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
963
500
Ni sehemu ambayo ninayoweza kuiruhusu akili yangu kutulia na kupunguza stress.

Huku story na mada zilizoshiba ndio nyumbani Kwao,yaani tamu isiyoisha hamu!!

Comment za kufungua utambuzi na za zingne za kukufanya ucheke na kufurahi,mfano:The bold,Gentamycine,Mshana Jr,Shunie( ),miss chagga,Miss natafuta,Stunter n.k

Kwangu JF ni sehemu ya kupumzikia na kupata maarifa mapya kwa kuukuza uwezo wa akili kufikiria."Heshima kwako team Jamii Forums"

I love U JF,I love U all JF members!!!!

Karibu tushee furaha pamoja.

By Mlaluko Jr.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom