Temporary Teacher:Wenye uwezo Wa kufundisha sayansi O'level wanahitajika.

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Walio tayari kufanya kazi wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma,wanakaribishwa.
IMG-20170103-WA0002.jpeg
 
Weka waz malipo ili kumshawixhi mwanasayasi toka Tanga,Dodoma,Moshi...,,,,
Mkuu Mimi niliwahi kufundisha shule hiyo 2014 na pia 2015 wakti Wa likizo ya chuo.Mshahara ulikuwa 150000/= kipindi hicho.But kwa maelezo zaidi amtafute mkuu Wa shule amuulize namba za simu ziko wazi.
 
Weka Vizuri Namba Za Huyo Mkuu Wa Shule Au Weka Maelezo Ya Tangazo Tucheck
 
Back
Top Bottom