JamiiForums Addiction

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Habari wanaJf

Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani??

Maana nahisi si hali ya kawaida!!

Tupeane uzoefu na ushauri pia!
 
Mie pia hivyo hivyo mpaka najishtukia.ila ugeni pia unachangia nikishakua mwenyeji ntaona uvivu kushinda humu
 
Mie pia hivyo hivyo mpaka najishtukia.ila ugeni pia unachangia nikishakua mwenyeji ntaona uvivu kushinda humu
Wala usijidanganye.uniambie tu kuna wakati shughuli zitakitinga utashindwa kuwa humu muda wote.

Sio kwamba hutataka.
 
Si kweli hata uwe busy kiasi gani ukiikumbuka jf utajiiba tu, addiction mbaya sana. Ndio maana Siwalaumu wale wanaorudia madawa ya kulevya ni ngum mno kujibana.
Wala usijidanganye.uniambie tu kuna wakati shughuli zitakitinga utashindwa kuwa humu muda wote.

Sio kwamba hutataka.
 
Habari wanaJf

Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani??

Maana nahisi si hali ya kawaida!!

Tupeane uzoefu na ushauri pia!
nami nasubiri huo ushauri kwa kweli!
 
ni aina fulani ya ulevi ambao huto kuwa kama chid benzino... ila ndo hvo ajira hakuna kila kitu kushoto
 
Instagram mejiunga majuz after its several years of existence. Jf nna muda kidogo sasa, frankly speaking, kila napokua free hata kama ni ten minutz lazima nizame jf.

Huko fb ndiyo cjawahi hata kua na account
 
Back
Top Bottom