MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Mimi ni mzawa Wa kigoma maeneo ya Kasulu Mjini.
Kama nawe ni Wa huko tufahamiane.
Tulashashe!Numuze gaa
Kama nawe ni Wa huko tufahamiane.
Tulashashe!Numuze gaa
Ckuweka uzi lengo kutambuana kwa namna ambayo inaweza kumshikisha mtu.Mfano:mimi ni mzawa Wa kgm lkn mpka sasa siishi kigoma .Ili iweje au umetumwa na mfalme. Imebidi muje na style mpya. Mello alishakataa mambo ya kutambuana na mpaka rumande akalala wewe unataka nn tena.
Kasulu sec karibu na Sofya au Takukuru?Kasulu Weka Location Yako Sawa
Haaa Njoo Tapa Hapa Napatikana
Sawa mkuu!Tupo pamojaMimi ni Mrundi, ila nazuga kuwa ni Muha wa Kibondo
Ungesema km ni mzawa wa huko inatosha!Km utapenda kuzungumza maeneo ulipozaliwa haina taabu.Ndio maana ht mm cjataja majina yangu wala vngne km vile nlipo xx n.k>>> MIMI MKAZI wa KIGOMA msamvu STAND karibu na Daraja la MTO RUVU njia ya kuelekea MTAMBASWALA jirani kabisa na feri HUKU POSTA mpya kama unaelekea OFISI za TAIFA za TAKWIMU hapa jirani na Msoga kijiji cha MKwakwani njia Panda ya KWEnda NAMTUMBO .>> mtoa MADA unadhani JF kama fACEbook??? sis wengine tunatafutwa na cnn anatusitiri ''MELO '' tu.
Asee!sawa WachuMimi wa ujiji jirani na yule wa magerza karibu na askofu kakobe
Jirani Na Kanisa La RCKasulu sec karibu na Sofya au Takukuru?
Masanga, masanga masanga njoo nipoJirani Hapa Na Kanisa Catholic
Sido au krbu na Masanga kwa ChobhoMasanga, masanga masanga njoo nipo
Sawa mkuuMji mpya, Bangwe moja
Masanga karibu na majengo ya Juve au shule ya kislamSido au krbu na Masanga kwa Chobho