Search results

  1. pepsin

    Taarifa kutoka African arguments. Mabeberu

    Upotevu wa 1.5trl na kufikia 2.4trl Ni kweli mabeberu wetu ni mabeberu au mabeberu ni sisi miongoni mwetu?? Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion
  2. pepsin

    Tundu Lissu: Dotto Bulendu umenikosea, sijalilia fadhila bali nadai haki

    DOTTO BULENDU UMENIKOSEA: SIJALILIA FADHILA, NADAI HAKI!!! Kaka Dotto Bulendu salaam. Nimesoma makala 'Kosa la Tundu Lissu ni nini?' mara mbili. Baada ya kuisoma mara ya pili, nimelazimika kurejea tena mahojiano yetu ya Nairobi Hospital ya mwaka jana. Nilitaka kujiridhisha kama ulichokiandika...
  3. pepsin

    Getrude Ndibalema, Dickson Kibona watimuliwa uanachama na BAVICHA kwa ‘Uasi’

    CCM hawajui timing kabisaaa. Kumrudisha pandikizi wao aliyekuwa kiongozi BAVICHA mapema ni uono mfupi. Sasa Maasai na rungu lake!! ========== Arusha. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanachama watatu wa chama hicho. Waliofutwa...
  4. pepsin

    Rais Uhuru Kenyatta: Nisameheni, tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha na tusahau yaliyopita

    Rais Uhuru amewaomba msamaha wananchi wake kwa makosa yake. Kwa kweli amenigusa sana moyoni. Huo ni unyenyekevu wa nguvu ya Mungu. Na bila shaka,under him a lot will be achieved. God bless you Mr president. Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi Nairobi, Kenya. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta...
  5. pepsin

    Shillingi ya Kenya inaimarika, shillingi ya Tanzania inashuka

    Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini? Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max. Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+ Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
  6. pepsin

    Sababu za uchochezi awamu ya 5

    Magazeti yanafungiwa na kuadhibiwa sana awamu hii kwa sababu za kudaiwa kuandika uchochezi Wanasiasa wengi wa upinzani wamekamatwa na wengine kuamriwa wajisalimishe polisi ili kuhojiwa kwa sababu ya makosa ya uchochezi Sasa why too much seditious cases this 5th term than previous? Kwani hayo...
  7. pepsin

    Kongamano la BAVICHA Arusha lililofanyika Nyerere Day

    BAVICHA wamefanya jambo la kunoa bongo zao kwa kufanya kongamano kwenye maadhimisho ya Nyerere Day. Kwa kweli sijui wenzao UVCCM walikuwa wapi jana ila nahisi walienda kuzima mwenge wa uhuru kule ng'ambo. My take: Hongereni Bavicha
  8. pepsin

    Rais hamteui Jaji mkuu ili asiondolewe na bunge?

    Bunge haliwezi kumwondoa rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani kama hamna jaji mkuu Mh Rais acha kujificha kwenye kivuli cha kukosekana jaji mkuu maana una wabunge wakutosha ambao ukiwapa 10m wanakusaidia kama wakati wa ile miswada
  9. pepsin

    Tarime ni tofauti: Mbunge John Heche, Esther Matiko, Wakabiliana vikali na polisi..

    Tarime ni tofauti na kwingine,hata Arusha ni watoto! Sehemu ziingine zikiiga,basi watu wataelewana na kuheshimiana
  10. pepsin

    Observation: Mikutano ya Rais vs ya Waziri Mkuu

    Mh rais amefanya mikutano mbalimbali,hivyo hivyo PM.Je,ni mikutano ya kiongozi yupi ina sura ya kitaifa zaidi? Ni mikutano ya yupi ambayo wabunge wa upinzani hasa CHADEMA wanaiamini na wanaeleza matatizo ya wananchi wao kama inavyopaswa? Ni mikutano ya yupi inabeba ukada zaidi?
  11. pepsin

    Ujenzi wa Stigler's Gorge H.E.P

    Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji...
  12. pepsin

    CCM vs CHADEMA:Kipi ni chama cha mafisadi?

    Siku za nyuma ilikuwa ni wazi kabisa kuwa CCM kilikuwa ni chama cha mafisadi,wezi wa mali ya nchi hii.Orodha ya mafisadi iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mwanasheria wa chama Dr Slaa na Tundu Lissu kwa mpangilio ilikoleza ufisadi wa CCM. Mchakato wa uchaguzi mkuu ulimtoa mmoja...
  13. pepsin

    Ushauri kwa Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani

    Asallam alleykhum wandugu, Naomba nimpe ushauri waziri wa usalama wa ndani kupitia JF kuhusu mauaji ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri. Ushauri wangu unaegemea ukweli kuwa yeye na rais wanayahusisha mauji ya kinyama na siasa za ndani ya nchi.Amekaririwa mara kadhaa akitoa sijui ni hisia au ana...
  14. pepsin

    Mh. Rais alimaanisha nini kusema wauaji wa Kibiti hawatapita?

    Sijamwelewa Mh. Rais kuhusu kauli yake kuhusu wauaji. Mh rais amesema HAWATAPITA, tena amerudia mara kadhaa. Hii kauli inaonesha rais anajua hawa wauaji wanataka kupita, ambacho sijaelewa ni kuwa wanataka kupita waende wapi? Wanapita waende zao au wanapita wakakae sehemu? Kwanza ni akina nani...
  15. pepsin

    Viongozi wa CHADEMA ni watengewe dawati ofisi za Polisi

    Nimepitia gazeti la leo tarehe 19.06.2017 online na kukutana na habari tatu (3) zikionyesha viongozi wa CHADEMA wakiwa aidha wamehikiliwa au wameitwa polisi kwa mahojiano. Kwa kuwa viongozi wa CHADEMA wamekuwa ni kama wateja wa kudumu kwenye vituo vya polisi awamu hii,napendekeza polisi watenge...
  16. pepsin

    Ma spika wa bunge la JMT ni WASALITI wakubwa,

    Tunameibiwa sana kama nchi kupitia mi sheria ya hovyo.Serikali za kifisadi zimepeleka miswada bungeni kujinufaisha.Matokeo yake hao signatories/mawaziri wanawajibishwa. Lakini ni maspika wa jamhuri akina mama Makinda,Ndugai etc ndio walisimamia na kuitetea miswada ya kifisadi hata kuwaadhibu...
  17. pepsin

    Mzee Victor Kimesera: Mzee Ndesamburo aliiwezesha CHADEMA kununua ofisi ya makao makuu

    Mzee Victor Kimesera,mwasisi wa CHADEMA ametegua kitendawili ambacho kimekuwa kikitumiwa sana na watoto wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Just see for yourself
  18. pepsin

    Bishop Dr.J.Gwajima

    Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua Lowassa.Then,watamweka mtu wao Ikulu. Na kwamba mpango huo unaratibiwa kwa kupitia kwa Nabii Bushiri wa...
  19. pepsin

    Tuwaunge mkono Lema, Lissu na Zitto kuhusu kampeni ya kumtafuta Ben Saanane

    Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA. Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike...
Back
Top Bottom