Kongamano la BAVICHA Arusha lililofanyika Nyerere Day

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
BAVICHA wamefanya jambo la kunoa bongo zao kwa kufanya kongamano kwenye maadhimisho ya Nyerere Day.

Kwa kweli sijui wenzao UVCCM walikuwa wapi jana ila nahisi walienda kuzima mwenge wa uhuru kule ng'ambo.
My take: Hongereni Bavicha

 
Nyerere day imekua siku huzuni kwangu, jana mikeka yangu ilichanika yote. Kweli ilikua siku ya maombolezo.!
 
Mungu ibariki Bavicha , Taasisi pekee ya vijana inayotamba eneo la maziwa makuu .
 
Back
Top Bottom