Tuwaunge mkono Lema, Lissu na Zitto kuhusu kampeni ya kumtafuta Ben Saanane

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA.

Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike kwa heshima.

TUANZE UPYA BAADA YA KUPOA ##BRINGBACK BEN SAANANE.
 
Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA.
Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike kwa heshima"

Wamekaa kimya miezi yote jana na juzi ndio wanaibuka kutafutia kiki tu. Hao wa upinzani wanajua alipo na walichomfanyia Ben mtoto wa watu. Ni kama alipopewa kile cheo cha ukaribu na Mbowe aligndua mengi mabaya na akanyamazishwa kihivyo.
Acha upumbavu wewe mwanamke, hivi una wadudu wanaotembea huko kichwani kama kwenye kichwa cha kondoo??
Unaboa sana, inaonekana hata ukiingia humu jf unakuwa upo nude ndio maana kazi yako ni kupost matakataka!
Shame on you...
 
Siasa hazina umhimu kwa mambo ya msingi hapo nitaungana na lema ila kama hawa wengine hapana maana walikuwa na mda wa kutafuta ila hawakufanya hivyo
 
Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA.
Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike kwa heshima"
TUANZE UPYA BAADA YA KUPOA ##BRINGBACK BEN SAANANE.
mkuu, mimi naiunga mkono hii kampeni kwa 101%.
lakini kuna hichi kimeo alichokiibua Kubenea kwenye gazeti lake wakati ule. wengi kimetuchanganya na hatuelewi elewi kipi ni kipi.
 
Wakati mwingine mtu anaweza kuchukua kitu chako akaa nacho kwa muda kusubiri ukiulizie,yaani kupima upepo. Usipokiulizia anakwenda kukiuza yaani anakipoteza!
 
mkuu, mimi naiunga mkono hii kampeni kwa 101%.
lakini kuna hichi kimeo alichokiibua Kubenea kwenye gazeti lake wakati ule. wengi kimetuchanganya na hatuelewi elewi kipi ni kipi.
Ni wakati mzuri sasa kwa vyombo vyetu vya ulinzi kumtaka atoe msaada!

Ni wasaa mzuri sasa kwa serikali kujisafisha katika hili maana watu wanaishutumu kuhusika!
 
Kwanza niwaambie nimecheka sana tena sana kuwasoma nyie ambao mnaisoma namba na mtanyooka tu.

Niwashukuru kwa kunipa kicheko kinachoniongezea miaka mingi ya kuishi.

Acha upumbavu wewe mwanamke, hivi una wadudu wanaotembea huko kichwani kama kwenye kichwa cha kondoo??
Unaboa sana, inaonekana hata ukiingia humu jf unakuwa upo nude ndio maana kazi yako ni kupost matakataka!
Shame on you...

Wewe mwanamme ni mchafu sana, nawaonea huruma wanaokuwa karibu nawe hiyo inayokutoka mwili 24/7 najua hawawexi kuvumilia kabisa. Wanawake nao lazima wanakukimbia kuanzia mdomo mchafu zaidi wa maggots na ndio unaandika hayo kunisema mimi kumbe ndivyo ulivyo wewe. Kaa uumie hadi usage meno. Usinipangie cha kuandika humu, mlia njaa wewe.

Achana naye huyo kuna fyuzi imekata kwenye kichwa chake

Nimefurahi mnamijadili, nipo juu ati!? Ningekuwa mnavyosema na kutaka niwe, msinge ni quote kabisa. Ila mnajua ukweli unawauma.

I am Cocochanel, endeleeni kunisoma ha ha haaaa

Makonda oyeeeeee

Yaani anaboa sana na mapovu yake!

LMAO

Huyo hata ukimwambia kuna ajali imetokea na kujeruhi au kuua wanachama wa upinzani atashangilia

Unafikiri mimi ni wizard ulivyo wewe?

Wewe ni alama ya ujinga katika jukwaa hii..

Yaani wewe kuniquote umeonyesha ni uko hivyo, na unatamani niwe hivyo

Nyani haoni....

Ha ha haaaaa

Mtanyooka tu, ID zenu nazijua so hamna jipya na maneno yenu machafu.
 
Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA.
Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike kwa heshima"
TUANZE UPYA BAADA YA KUPOA ##BRINGBACK BEN SAANANE.

Duh hiyo timu mbona imekaa kinafiki!

Kwanza japokuwa siasa inashindana NA ukahaba kwani haina heshima wala haya, lakini ushirikiano wa Zitto na hao wawili unanifanya ni tafakari na kutaka kujua hatma yake, hao hawaaminiani hata chembe NA Hamna mapenzi wala hawana msimamo mmoja.

Zitto alikuwa hana imani wala alikuwa hataki Kumjua Ben, na simlaumu, kwani mtu aliyewania kukulisha sumu ufe sidhani kama unaweza mmpenda hata siku moja.

Tutakuja kuona Lissu NA Lema wakija kumtukana NA kumsuta Zitto kesho, atakapo alikwa kunywa juice NA Raisi
 
Muda wote walikua wapi, sasa kama ni kufa sikashaakufa na kuoza? yaani leo ndio wamejuaa au walikua likizo...wanasiasa wetu bwana wanatuona kama mazuzu hiviiii
 
Hawa ndugu wameamua kwa namna yeyote ile kumtafuta Ben Saanane,akiwa HAI au AMEKUFA.
Tuwaunge mkono kwenye harakati zao.Kama Makonda ameweza kutimiza ahadi ya kupatikana mateka Roma Mkatoliki na wenzake kwa muda mfupi,tumtake atuletee na Ben Saanane! "Kama amekufa,watupe mifupa yake tukaizike kwa heshima"
TUANZE UPYA BAADA YA KUPOA ##BRINGBACK BEN SAANANE.
Hii tuiunge mkono kwa nguvu zote, haiwezekani binadamu akapotea hivi hivi
 
Wamekaa kimya miezi yote jana na juzi ndio wanaibuka kutafutia kiki tu. Hao wa upinzani wanajua alipo na walichomfanyia Ben mtoto wa watu. Ni kama alipopewa kile cheo cha ukaribu na Mbowe aligndua mengi mabaya na akanyamazishwa kihivyo.
Kama ni pepo anakaa kichwani mwako hakosi kuwa Luten jenerali, wewe huwezi kuwa na vikopro au visajent vya pepo hamna kabisa yani saluti.
 
Wamekaa kimya miezi yote jana na juzi ndio wanaibuka kutafutia kiki tu. Hao wa upinzani wanajua alipo na walichomfanyia Ben mtoto wa watu. Ni kama alipopewa kile cheo cha ukaribu na Mbowe aligndua mengi mabaya na akanyamazishwa kihivyo.
Wewe mama hivi bado unasumbuliwagwa na viroboto vya uk..ni tu mpaka leo? Hii ni aibu mwanamke mzima!!
 
Wamekaa kimya miezi yote jana na juzi ndio wanaibuka kutafutia kiki tu. Hao wa upinzani wanajua alipo na walichomfanyia Ben mtoto wa watu. Ni kama alipopewa kile cheo cha ukaribu na Mbowe aligndua mengi mabaya na akanyamazishwa kihivyo.
Kuna wadudu wenye kunyemvua-nyemvua wanakuathiri sehemu zako that's why always u come with very stupid arguments.
Shame on your ugly face.
 
Back
Top Bottom