Viongozi wa CHADEMA ni watengewe dawati ofisi za Polisi

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Nimepitia gazeti la leo tarehe 19.06.2017 online na kukutana na habari tatu (3) zikionyesha viongozi wa CHADEMA wakiwa aidha wamehikiliwa au wameitwa polisi kwa mahojiano.
Kwa kuwa viongozi wa CHADEMA wamekuwa ni kama wateja wa kudumu kwenye vituo vya polisi awamu hii,napendekeza polisi watenge dawati maalum la kuwahudumia maana hali hii siyo ya kawaida!!
Habari zenyewe kwa leo tu

1. Kiongozi Bavicha mbaroni akidaiwa kufanya mkutano bila kibali

2. Askari wamtoa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai akiendesha kikao

3. Meya wa Ubungo achukuliwa na polisi

##Mshika mbili moja humponyoka,kuleta maendeleo ya kiuchumi na kupambana na wapinzani.Ukiuua upinzani hutapata muda wa kuleta maendeleo maana muda wote utakuwa unawaza mbinu za kuua upinzani badala ya mbinu za kuleta maendeleo ya kiuchumi
 
Back
Top Bottom