pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,465
- 6,109
Mh rais amefanya mikutano mbalimbali,hivyo hivyo PM.Je,ni mikutano ya kiongozi yupi ina sura ya kitaifa zaidi? Ni mikutano ya yupi ambayo wabunge wa upinzani hasa CHADEMA wanaiamini na wanaeleza matatizo ya wananchi wao kama inavyopaswa?
Ni mikutano ya yupi inabeba ukada zaidi?
Ni mikutano ya yupi inabeba ukada zaidi?