Ma spika wa bunge la JMT ni WASALITI wakubwa,

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Tunameibiwa sana kama nchi kupitia mi sheria ya hovyo.Serikali za kifisadi zimepeleka miswada bungeni kujinufaisha.Matokeo yake hao signatories/mawaziri wanawajibishwa.
Lakini ni maspika wa jamhuri akina mama Makinda,Ndugai etc ndio walisimamia na kuitetea miswada ya kifisadi hata kuwaadhibu WABUNGE WAZALENDO waliposimama kuitetea nchi.
Hawa ni wasaliti aidha kwa kusukumwa na ufisadi na woga kwa serikali na chama.Maspika laiti wangefanya wajibu wao,tusingeibiwa hivi!!!
Hawa ni watu waovu na wanastahili adhabu kali sana.Lakini ni nani atawaadhibu?
Kwa kuwa wana nguvu za kulindana,basi Mwenyezi Mungu atawaadhibu kwa makosa yao?
 
Back
Top Bottom