Search results

  1. G

    nauza min projector (used) - 200,000 TZS na printers

    Dar es Salaam, Tanzania nauza min projector - 200,000/= (used) 200,000 TZS inatumia flash, memory card etc nauza min projector - 230,000/= (used) imetumika kidogo sana (2 manths) haitoa sauti ila kila kitu kingine kiko clear ukinunua unatafuta matekniciani wanakurekebishia sauti. 0679 94 61 64...
  2. G

    INAUZWA Hp laser jets 2015 - bei- 200,000/=

    PRINTERS HP LASER JETS 2015 - BEI- 200,000/= SIFA: zina printi hadi rim 5 ambazo ni pages 2500 quality: nzuri HP 127-130 MFP(PRINTER, COPY AND SCANNER) (PRINTER AND COPY) BEI- 320,000/= CANON IR 1024 (mpya kabisa) BEI- 850,000/= CANON 2202 (USED) BEI 800,000/= INA PRINT NA KUTOA KOPIES...
  3. G

    INAUZWA HP LASER JETS 2015 - BEI- 200,000/=

    PRINTERS HP LASER JETS 2015 - BEI- 200,000/= SIFA: zina printi hadi rim 5 ambazo ni pages 2500 quality: nzuri HP 127-130 MFP(PRINTER, COPY AND SCANNER) (PRINTER AND COPY) BEI- 320,000/= CANON IR 1024 (mpya kabisa) BEI- 850,000/= CANON 2202 (USED) BEI 800,000/= INA PRINT NA KUTOA KOPIES...
  4. G

    INAUZWA CANON IR 2202-850,000/=

    CANON IR 2202 SIFA: INA TOA COPIES NA KUPRINT (A4, A3 ETC) BLACK AND WHITE BEI- 850,000/= CANON IR 1024 PRINTER AND COPY BLACK AND WHITE BEI-950,000/= PRINTERS HP 176 mfp- 550,000/- Laserjet Ina print colored na pia black and white Ina print na copies bei- 550,000/- HP 1216 MFP SCAN, COPY AND...
  5. G

    Jipatie bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu

    Dar es Salaam, Tanzania printer 2015- inaprint karatasi 30 kwa dakika na ipo katika 'good' condition BEI 250,000/= MAKABATI YA KUUZIA VITU VYA DUKANI AU KUPANGIA VITU VYA STESHENARI BEI NI KUANZIA 150,000 HADI 200,000/= GENERATOR DOGO KV 1 BEI NI 110,000/= MAWASILIANO NI 0621 257 158 PRINTERS...
  6. G

    Buza jijini Dar kuna matukio mengi ya wizi

    kumekuwa na ongezeko kubwa la matukio ya wizi wa uvunjaji wa maduka na fremu katika eneo la buza. ni wazi kuwa ingependeza viongozi wakahimiza program maalum ya ulinzi shirikishi ikafanyika klwa wakazi wa buza hasa kuanzia maeneo ya buza kanisani watakuwa mashahidi wa hii hali, ni vyema...
  7. G

    fungua ofisi duka au steshenari kwa vifaa hivi

    jenereta used kv 1 bei 110,000 hadi 100,000/= kabati milango miwili- 150,000 hadi 135,000/= mwisho makabati ya steshenari kuna ya 220,000/= na ya 180,000/= compaq hp- pc peke yake 160 gd-hdd, ram 750, processor duo core- bei 170,000/= printer 1300 ina tumia laser (wino wa unga) wa 15,000 una...
  8. G

    Nauza printer all in one 100,000

    nauza printer HP 2130. ina print, copy and scan. Bei ni 100,000/= NI MPYA HAINA ZAIDI YA MIEZI MIWILI. SABABU YA KUUZA NILINUNUA KWA AJILI YA RESEARCH NIMESHAKAMILISHA RESEARCH YANGU. WANAOHITAJI WAWEZA KUNIWATSAP, KUNITEXT AU KUNIP[IGIA 0656 676 493. NAISHI CHANG'OMBE.
  9. G

    Kwa kasi hii ya serikali katika kukusanya kodi tunaweza kujitegemea

    Kwa kasi hii ya serikali katika kukusanya kodi tunaweza kujitegemea Na Mwandishi Wetu WIKI iliyopita, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashashu Kijaji, alikaririwa akisema kwamba mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya ndani umeimarishwa na kwamba tangu serikali hiyo iingie madarakani Novemba 5...
  10. G

    CHADEMA YA SASA SIYO ILE YA ZAMANI

    CHADEMA YA SASA SIYO ILE YA ZAMANI Ni muhimu kuanzia mbali mahala fulani. Twaweza kuanzia kuiangalia CHADEMA kabla ya michakato ya uchaguzi. Jinsi ilivyokuwa ikipambana na ufisadi. Tukaifuatilia CHADEMA wakati wa uchaguzi na hasa mchakato wa kumpata mgombea urais. Hapo tukaona jinsi CHADEMA...
  11. G

    MAGUFULI AWAAIBISHA WALE WALIOKUWA WANASEMA HAJUI KINGEREZA

    MAGUFULI AWAAIBISHA WALE WALIOKUWA WANASEMA HAJUI KINGEREZA Unapozungumza jina la Dr John Pombe Magufuli ni jina lilopata umaarufu sana duniani kote kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa sasa Dr. Magufuli (CCM) ndio Rais wa...
  12. G

    Bajeti ijayo itatekelezwa kwa fedha za ndani -Mpango

    Bajeti ijayo itatekelezwa kwa fedha za ndani -Mpango SERIKALI imesema bajeti ya mwaka ujao, hususani utekelezaji wa miradi yote ya maendeleo, itatekelezwa kwa fedha za ndani. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema miradi mikubwa kama vile ujenzi wa reli ya kisasa ya kati na...
  13. G

    Mbinu hizi za wapinzani zimeshashindwa tayari

    MBINU HIZI ZA WAPINZANI ZIMESHASHINDWA TAYARI! Siku chache zilizopita kumetokea tabia ya kushambuliwa kwa maneno kwa baadhi ya wakuu wa wilaya kupitia vyombo vya habari ikiwemo magazeti yakionesha picha mbalimbali za wakuu wa wilaya na kuwakejeli, lakini pia baadhi ya wabunge na mameya na...
  14. G

    Msimamo wa Sumaye kisiasa ni wa kiitikadi au wa kimaslahi?

    MSIMAMO WA SUMAYE KISIASA NI WA KIITIKADI AU KIMASLAHI? Na. Gwamaka Aswile Neno siasa lina tafsiri nyingi. Frank Underwood, muigizaji mkuu wa tamthiliya ya kwenye runinga ya ‘House of Cards’ aliwahi kutafsiri mchakato wa kusaka madaraka kwa maneno haya: “Njia ya kusaka ama kuelekea kwenye...
  15. G

    Kagame amkubali Magufuli

  16. G

    Muda si mrefu tutakuwa kama Ulaya - huduma za jamii bure

    SERIKALI imeendelea kuongeza makusanyo ya mapato yake kufikia karibu Sh trilioni 1.5 katika kipindi cha Januari mwaka huu. Hii ni habari njema kwa Watanzania, kwasababu inaonesha jinsi vyanzo vyetu vya mapato vinaweza kututoa katika utegemezi wa hali ya juu kwa wahisani. Juhudi hizi...
  17. G

    Makongoro Mahanga amekosa hoja

    MAKONGORO MAHANGA AMEKOSA HOJA Nimesoma katika moja ya magazeti aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la segerea Makongoro Mahanga ameandika kuwa" RAIS MAGUFULI HAJAPUNGUZA UKUBWA WA SERIKALI" Mahanga amejikita katika kutizama makatibu wakuu na kuona idadi ya makatibu wakuu ni kubwa. Tukubaliane...
  18. G

    Magufuli na Tanzania mpya

    MAGUFULI NA TANZANIA MPYA Kwanza nipende kumpongeza Rais wa awamu ya Tano Mh Dkt John Joseph Pombe Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Mh Samia Hassani Suluhu kwa ushindi walioupata kwenye uchaguzi uliofanyika Octoba 25,2015 kwani uchaguzi wa mwaka huu ulijaa ushindani sana na ahadi za kila...
  19. G

    Watuhumiwa wa madawa ya kulevya waingiwa kiwewe

    WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA WAINGIWA KIWEWE -NI BAADA YA WANNE KUPEWA HUKUMU KALI NA KUTAKIWA KULIPA MABILIONI YA FEDHA. Na. Mwandishi Wetu. Hofu imetanda kwa watuhumiwa wa kesi za matumizi ya madawa ya kulevya waliopo katika magereza mbalimbali nchini, kufuatia hukumu...
  20. G

    Sishangai Magufuli kushinda

    Nianze makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuiwezesha Tanzania yetu kufika salama siku ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu na hatimaye uchaguzi huo kufanyika kwa amani na usalama kwa kiasi kikubwa. Ni rahisi kudhani kilichotokea ni jambo dogo pengine kwa vile tumeshazoea kuona chaguzi...
Back
Top Bottom