Nauza printer all in one 100,000

gwamaka aswile

Senior Member
Mar 26, 2015
186
106
nauza printer HP 2130. ina print, copy and scan. Bei ni 100,000/= NI MPYA HAINA ZAIDI YA MIEZI MIWILI. SABABU YA KUUZA NILINUNUA KWA AJILI YA RESEARCH NIMESHAKAMILISHA RESEARCH YANGU. WANAOHITAJI WAWEZA KUNIWATSAP, KUNITEXT AU KUNIP[IGIA 0656 676 493. NAISHI CHANG'OMBE.
 
mkuu unaishi chang'ombe hii ambayo ipo mbele ya kituo cha magengeni? l kma ndivyo nitakutafuta tuje tuongee biashara.
 
nauza printer HP 2130. ina print, copy and scan. Bei ni 100,000/= NI MPYA HAINA ZAIDI YA MIEZI MIWILI. SABABU YA KUUZA NILINUNUA KWA AJILI YA RESEARCH NIMESHAKAMILISHA RESEARCH YANGU. WANAOHITAJI WAWEZA KUNIWATSAP, KUNITEXT AU KUNIP[IGIA 0656 676 493. NAISHI CHANG'OMBE
Naomba no ya wino?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom