Buza jijini Dar kuna matukio mengi ya wizi

gwamaka aswile

Senior Member
Mar 26, 2015
186
106
kumekuwa na ongezeko kubwa la matukio ya wizi wa uvunjaji wa maduka na fremu katika eneo la buza.

ni wazi kuwa ingependeza viongozi wakahimiza program maalum ya ulinzi shirikishi ikafanyika

klwa wakazi wa buza hasa kuanzia maeneo ya buza kanisani watakuwa mashahidi wa hii hali,

ni vyema hatua za haraka na za makusudi zifanyike kukomesha matukio hayo
 
Maisha magumu sana now day... Jiwe alegeze la sivyo watawamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumekuwa na ongezeko kubwa la matukio ya wizi wa uvunjaji wa maduka na fremu katika eneo la buza.

ni wazi kuwa ingependeza viongozi wakahimiza program maalum ya ulinzi shirikishi ikafanyika

klwa wakazi wa buza hasa kuanzia maeneo ya buza kanisani watakuwa mashahidi wa hii hali,

ni vyema hatua za haraka na za makusudi zifanyike kukomesha matukio hayo
Ulinzi shirikishi ndio nini? Acheni kufuga Vibaka.Toeni taarifa polisi juu ya mwenendo mbaya wa vijana katika mitaa yenu mtapona..
 
acha kusanua dili, sasa wakale polisi? Huoni maisha yalivyo magumu? Acha tugawane hivyo vilivyo vidogo!
 
Wanaume wa Buza hasa nyie wahamiaji mliotoka Sinza na Kurasini ni Mayai sana,hata kupiga mwizi aliefungwa kamba mnaogopa,acha kichapo kiwatembelee. Igeni mfano wa Wanaume wenzenu wa Kilakala na Temeke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom