gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Kweli kabisaAdmin, tunaomba upige marufuku watu kupiga picha magazeti na kubandika humu kama ndiyo uzi ulioanzishwa.
Hivi vichwa vya magazeti kuvibandika humu ni kutupotezea muda maana hakuna content. Na pia iinaharibu hadhi ya jukwaa hili. Ilianza taratibu sasa inaonekana kama ni jambo la kawaida.